Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Angalia tu usimuue mzee wa watu kisa mali zake mwenyewe maana mambo ya siku hizi wala hayaeleweki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akushirikishe we Nani ? Wakati anazitafuta wewe ulishirikishwaje Acha ujinga unakera Sana ww bwegeza chini chini naskia ameongeza na ela zake nyingine ameenda kununua nyumba Mbweni yenye losheni moja ndio nafatilia, maana haiwezekani anakuwa anafanya mambo bila kunishirikisha nahisi uyu mzee atakuwa ana shida sehemu.
Yaan it's shocking. This grownass dude still living at homeAisee umenishangaza sana, yaani 42yrs Graduate bila aibu bado unaishi kwa baba yako? Na huyo baba yako anauza mali kwa sababu ya tabia yako ya kudai mali ambayo hujaitolea jasho,
Tafuta shughuli ya kufanya achana na Baba yako na mali zake.
Nilikuwa na mshikaji at 37 alikuwa hajaoa na bado anaishi kwa wazazi, tulipambana sana mpaka akaoa na kutoka nyumbani kwa wazazi, maana kazi alikuwa napata na kuacha kila siku, Japo mpaka leo hajatulia kwenye kazi lakini angalau yuko responsible na familia yake.Yaan it's shocking. This grownass dude still living at home
Unakoelekea wewe siyo kabisaHabarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizo pita na kubakisha nyumba moja maeneo ya uku sinza mori ambayo ndio tunakaa sasaivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo ata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza uyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado ajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.
Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wana sheria naombeni mnsaidie maana uyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama iyo juma tatu oja yangu hii kama uyu mzee wangu uenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote niziifadhi sehemu nzuri na salama.
Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninaye jitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia izo pesa niziifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.
Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wee ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya ulithi wa maali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka, wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate aki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimesha toa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa uyu mzee.
nawasilisha
Umri wako sahihi ni upi? Ni huu wa 42 kwenye hii mada au ni ule wa January 1, 1991 (31) wa kwenye Bio?Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizo pita na kubakisha nyumba moja maeneo ya uku sinza mori ambayo ndio tunakaa sasaivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo ata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza uyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado ajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.
Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wana sheria naombeni mnsaidie maana uyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama iyo juma tatu oja yangu hii kama uyu mzee wangu uenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote niziifadhi sehemu nzuri na salama.
Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninaye jitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia izo pesa niziifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.
Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wee ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya ulithi wa maali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka, wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate aki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimesha toa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa uyu mzee.
nawasilisha
Hii ni chai.
Kama sio chai basi wewe mleta mada ni moja ya watu wapumbavu na wajinga sana kuwahi kuwasikia.
Kabla hajaanza kutafuta mali ahame kwanza then ajifunze kuandika vizur kisha aendelee na ishu zingineChief tafuta mali zako acha utoto.
Ila at 42 years kwakwel mi naonaga kama ndio game over hiv!?!?!Aisee umenishangaza sana, yaani 42yrs Graduate bila aibu bado unaishi kwa baba yako? Na huyo baba yako anauza mali kwa sababu ya tabia yako ya kudai mali ambayo hujaitolea jasho,
Tafuta shughuli ya kufanya achana na Baba yako na mali zake.
Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.
Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.
Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.
Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka
Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.
nawasilisha