Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

Ukute mzee kawa sponser sasa huyo binti kamfanyia uganga hizo hela zinaweza potea fanya ukaangalie kiasili mahakamani pekee utapoteza muda.Sema miaka 42 kulilia mali za baba sio sahihi ila fatilia kwann imekuwa ghafla sana

Hakuna kabinti; kaona Dogo Ni Fala;
 
Huyo mzee ni chizi anafaa kipigo utauzaje mali usishirikishe mtoto pendwa mwenye umri mdogo kama mtoa mada
 
Duh! Really ? A grown ass man like you! No shame!!!!huyu ni boyfriend wa mtu na anategemea apate pesa ya kuanzia maisha at 42.[emoji3]what a joke !!
 
Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.

Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.

Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.

Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka

Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.

Nawasilisha

Mbowe siyo gaidi
 
umri 42 bado upo kwenu tena unalilia na urithi wa baba yako wakati bado yu hai aisee ke anayekutunuku ukojolee anahuruma sana,useless
 
Ila at 42 years kwakwel mi naonaga kama ndio game over hiv!?!?!
After 3years kama anatafuta ajira its all over, lakini pia kama amegraduate na miaka 22 anatakiwa kuwa na uzoefu wa kazi wa miaka 20, imagine leo anaajiriwa idara ya Marketing kwenye kampuni yoyote ile maana yake anaanza upya pia atatumwa na vijana wadogo.
 
Babako anataka utafute kama alivyotafuta yeye.kwa umri ulionao na elimu aliyokupa vinakutosha kabisa wewe kumuongezea furaha baba yako
Baba yako kakutafakari kaona wewe ni BOYA
Na amekwisha kushtukia unaweza kumuuwa kwa ajiri ya mali kaona bora ajilie matunda yake nawe tafuta yako ule
Maana fashen ya watoto wa sasa ni kuuwa wazazi ili warithi mali
Mkuu beba mabegi yako katafute cha kwako.tayari ushazeeka .sijui wasubiri nini tena maana sa hivi ulikuwa unatakiwa uwe unasumbuliwa na wanao kuhusu kuwagawia urithi kabisa
Kumbe nawe ndo kwanza unaangalia kwa baba???
Pole sana mzee wa maskani mpaka sa hivi subiri ukifikisha miaka 60 utafute kazi nadhan kuna wawekezaji wanaweza kuingia nchini
USHAURI WA BURE MKUU SIKUTOZI USHURU WOWOTE LABDA TOZO TU
 
Hahaha ni utani ila kuna watu ndio maisha yao haya.

Japo ni chai ila kwa ajili ya kujifunza Mkuu kesi za madai haziendi polisi sababu hawana mamlaka nazo hao zao ni jinai tu.

Kifupi sana, ingekuwa ni tukio la kweli ningekwambia hapo hakuna kesi utapigwa chini mapema sana fanya mambo mengine.
 
Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.

Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.

Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.

Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka

Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.

Nawasilisha
Wewe utakuwa Mchaga' Serikali imlinde baba Mzazi asije kuuwawa
 
za chini chini naskia ameongeza na ela zake nyingine ameenda kununua nyumba Mbweni yenye losheni moja ndio nafatilia, maana haiwezekani anakuwa anafanya mambo bila kunishirikisha nahisi uyu mzee atakuwa ana shida sehemu.
Kama unatania sawa, ila kama upo serious wewe ni kiazi tu! Miaka 42 unatega kupewa bure na baba...muulize baba alitumia mbinu gani kujenga nyumba zake ili nawe ukajenge!
 
Anapotaka kuuza mali zake baba mawazo yake yaheshimiwe.Usikute kakamatwa na Meena Ally yupo uvunguni kama anafunguwa sampo ya Subaru.
 
Ningekuwa karibu ningekucharaza viboko vya makalio. Mjinga sana wewe. Huyo baba yako anahuruma sana sasa hivi ungeshafungasha mizigo yako hapo.
 
Chakuku shauri. Kaa naye muombe Kama anaweza kukusaidia shida uliyonayo. Otherwise anauwezo wa kufanya anavyotaka labda tu, wa kuweza kumpinga Ni mama yenu ikiwa atathibitisha hiyo nyumba Ni either Matrimonial property au Matrimonial home.
 
Kwa uandishi huo wewe hujasoma. Anyway, umesoma hujasoma mali si zako ni za babako. Tafuta za kwako
Kwa mri huo ulitakiwa kuwa na familia yako mbali kabisa na babayako na wala usifuatilie mambo ya mali zake.
 
Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake mimi bado kijana mdogo hata umri wa miaka 50 sijafika ndio kwanza nina 42, na cha kushangaza huyu mzee baada ya kuuza nyumba ya kwanza bado hajanipa mgao wowote wa pesa mpaka niliamua kwenda kumshtaki ofisi ya kata na jana nimeenda kufungua kesi polisi na Jumatatu ya tarehe 24 tunaenda mahakamani kwa kesi kusikilizwa.

Cha kushangaza leo ameamka na kuanza kusema anauza nyumba hii pia, jamani wanasheria naombeni mnisaidie maana huyu baba anateketeza mali zote na mimi kama mtoto wake sijaambulia chochote mpaka muda huu, nahisi uenda mzee wangu akawa amechanganyikiwa, nataka nieleze mahakama hiyo jumatatu hoja yangu hii kama huyu mzee wangu huenda amechanganyikiwa ili niweze kupatiwa pesa zake zote nizihifadhi sehemu nzuri na salama.

Haiwezekani mimi mtoto wake nipo na nina elimu nzuri tu na kubwa sana ya degree ya marketing kutoka chuo kikubwa kabisa cha university of dar es salaam, na nina umri wa kijana ninayejitambua kabisa wa miaka 42 ashindwe kunipatia hizo pesa nizihifadhi au kama hataki anipe mgao wangu kabisa nikatafute maisha yangu.

Leo ananiambia kwa jeuri eti kama nimeamua kwenda mahakamani basi nitakuwa nakula na kulala mahakamani ila sio hapa kwake, nikamuambia hapa sio kwako hapa ni kwetu maana wewe ni baba yangu na mahakama inatambua umuhimu wa mtoto kwenye ishu ya urithi wa mali, anasema anaenda kutafuta dalali na muda huu ameondoka

Wanasheria naombeni mshikamane na mimi kwenye ili wakuu ili nipate haki yangu ya mali. Na alivyo na jeuri ananiambia ananipa siku mbili niwe nimeshatoa begi langu la nguo ndani niwe nimeondoka jamani mpaka namshangaa huyu mzee.

Nawasilisha

Hivi unatania au uko "siriasi" ?
 
Back
Top Bottom