Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

za chini chini naskia ameongeza na ela zake nyingine ameenda kununua nyumba Mbweni yenye losheni moja ndio nafatilia, maana haiwezekani anakuwa anafanya mambo bila kunishirikisha nahisi uyu mzee atakuwa ana shida sehemu.
Akushirikishe we Nani ? Wakati anazitafuta wewe ulishirikishwaje Acha ujinga unakera Sana ww bwege
 
Aisee umenishangaza sana, yaani 42yrs Graduate bila aibu bado unaishi kwa baba yako? Na huyo baba yako anauza mali kwa sababu ya tabia yako ya kudai mali ambayo hujaitolea jasho,
Tafuta shughuli ya kufanya achana na Baba yako na mali zake.
Yaan it's shocking. This grownass dude still living at home
 
Labda amekuona wewe ni bure kabisa hivyo ni afadhali auze kila kitu maana 42 yrs unalialia. Alafu unaweza kuta hata yeye hakurithi chochote na alipambana mpaka kufikia hapo.
 
Yaan it's shocking. This grownass dude still living at home
Nilikuwa na mshikaji at 37 alikuwa hajaoa na bado anaishi kwa wazazi, tulipambana sana mpaka akaoa na kutoka nyumbani kwa wazazi, maana kazi alikuwa napata na kuacha kila siku, Japo mpaka leo hajatulia kwenye kazi lakini angalau yuko responsible na familia yake.
 
Unakoelekea wewe siyo kabisa

42 unashindwa kupambania na hali yako

Inaelekea wewe ulikuwa unaishi tu kwa kubweteka hapo kwa mzee

Mzee wako ashakuona we siyo mpiganaji
Unatolea tu macho urithi tu

Ova
 
Mtu asiye na heshima hastahili heshima.
Mburuzane mahakamani ndiko wanakojua kuchambua sheria.
Ila daaaahhh hivi babu yenu aliwahi kusugua uchizi?
Samahani maana naona kama wewe na mzee wako kama mna kaugonjwa hivi.
 
Umri wako sahihi ni upi? Ni huu wa 42 kwenye hii mada au ni ule wa January 1, 1991 (31) wa kwenye Bio?
 
We jamaa ni Bogaz haswa , Vijana wenye miaka 22 tayari wahsatengeneza makazi yao na wanatafuta mali zao , wewe unalilia mali za Mzee ukiwa na umri wa kuelekea uzee, hizo sio za kwako, na fikiri una utindio wa Ubongo afya ya Akili yako ichunguzwe
 
Niko nawew mkuu mzazi wangu alishawai kuuza kiwanja kizuri Sana kipo USA river pale leganga na Bila kutudhirikisha mm Wal kak zangu tulimshangaah Sana mZee so na wee mpeleke mahkamnani tu umdhibiti
 
Wewe sasa unaanza kutushika masikio, ngoja tufukunyue habari zako za nyuma...

Kila siku kulia lia tu baba kauza nyumba yake, baba kauza nyumba yake...


Feb 18, 2021
Unasimulia umetolewa kijijini na shangazi, ukaja mjini kusomeshwa, mama yako ana miaka 50 na anaishi kijijini kwenye nyumba ya udongo. Hujaeleza kabisa habari ya baba yako...

"Kuna mazuri ambayo nikiyawaza kwake (huyu shangazi yangu) nahisi natakiwa kumfanyia jambo ambalo linaweza kuwa jema kwake, uwezo wangu kipesa sio mzuri kabisa, sina kazi kwa sasa, niliwaza ivi wakuu: hapa nina milion 20 cash. nyumbani kwetu ni mwanza."



March 7, 2021
Unasimulia kisa cha kufukuzwa kwenu kwenye nyumba aishiyo mama na baba yako, nyumba yenye mlinzi getini na uzio (sio tena nyumba ya udongo kijijini na wala sio kwa shangazi yako aishiye nyumba ya kupanga)

"Basi siku ya juzi nilimpigia simu mama kumuambia sijala nina siku ya 2, mama yangu alilia sana, nikamuomba aniombee msamaha kwa baba ili niweze kurudi kuishi kpale kwetu ila la kushangaza mama alipomuambia baba, mzee alikataa kabisa kuniona"

 
Hii ni chai.

Kama sio chai basi wewe mleta mada ni moja ya watu wapumbavu na wajinga sana kuwahi kuwasikia.

Nadhani siyo chai, maana mshikaji huu ni uzi wa tatu anahama na mada yake. Hapa kunaweza kuwa na tatizo la afya ya akili. Wataalamu wa saikolojia wanaweza kuwa na msaada zaidi kwa huyu binadamu.
 
Aisee umenishangaza sana, yaani 42yrs Graduate bila aibu bado unaishi kwa baba yako? Na huyo baba yako anauza mali kwa sababu ya tabia yako ya kudai mali ambayo hujaitolea jasho,
Tafuta shughuli ya kufanya achana na Baba yako na mali zake.
Ila at 42 years kwakwel mi naonaga kama ndio game over hiv!?!?!
 
Mimi bado nipo pale pale ile laki 2 uliyoitumbua na kusherekea ndo bado inakutafuna[emoji23][emoji23][emoji23]
 

UD kitengo cha Marketing inabidi waundiwe tume, hawawezi graduate watu wapuuzi Kama wewe!

Baba yako naye angekuwa mjanja angekufukuza hapo au aondoke maana naona roho ya kuuana will kick in very soon!

Tafuta hela yako acha ujinga mwanaume: Nina uhakika ungekuwa Na akili usingekuwa home at 42.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…