Wanasheria Njaa: Mnaaibisha Fani nzima ya Sheria

Wahenga walisema"" usitukane wakunga na uzazi ungalipo", wengine wakasema "usitukane mamba kabla ya kuvuka mto" Yule aonekanaye kuwa ni mwanasheria njaa ni mkombozi wa wengine wengi kwa kiasi kikuwa sana kwa upande mwingine.

Ndio maana nawapenda ambulance chasing attorneys na DUI attorneys bila kuwasahau Bail Bond lawyers
 

Mkuu hizi mbona ni hoja za kitoto sana. Huwezi kubase hoja zako kwenye offer,acceptance,consideration e.t.c ili uwaoneshe laymen kuwa sheria ni rahisi na hivyo wanaweza kufanya wenyewe. Kuna a lot of technicalities kwenye sheria ambazo kama haujasoma sheria huwezi kuelewa. Watu wasingelipa billions of money kama legal fees kama tu wanaweza kwenda google wakasoma then wakaenda kuargue their cases mahakamani.
Huyo Mtikila mwenyewe pamoja na kujua jua sheria lakini bado kesi zake zote anatumia mawakili,do u know why? kuna vitu ambavyo kama hujasoma masomo ya sheria hauwezi kuvifanya kwa usahihi.
Procedure tu za kuendesha kesi ni very technical mpaka hata lawyers wenyewe wanachemka wakati mwingine.
Hivyo acha kuwapa moyo,ni kweli kuna vitu vichache wanaweza kuelewa lakini ni vingi ambavyo hawawezi kuvielewa na kwa sababu hiyo wanahitaji wanasheria kama wanavyohitaji maji.
 
Why would you complicate uncomplicated definition?

Hata hajacomplicate isipokuwa tu ukimuuliza layman "contract ni nini", simply atasema kuwa ni makubaliano kati ya watu wawili au zaidi. Sasa je ni kweli kuwa kila makubaliano kati ya watu wawili au zaidi ni mkataba.
Ni wanasheria pekee ndo wanafahamu vigezo vinginevyo vya kufanya makubaliano kuwa mkataba. kwa mfano sio offer,acceptance e.t.c, kwa mfano kuna ishu za capacity to contract za natural and legal persons wangapi ambao sio wanasheria wanaelewa hilo. Ni wangapi ambao sio wanasheria wanaelewa kuwa kuna watu hawaruhusiwi kuingia kwenye mikataba,ni watu gani na kwa nini?
Kwa kifupi maana ya mkataba kisheria ni pana zaidi kuliko watu wanavyouelewa huo msamiati
 

Taja technicalities 10 tu ambazo kama hujasoma sheria huwezi kuzielewa.

Watu wasingelipa billions of money kama legal fees kama tu wanaweza kwenda google wakasoma then wakaenda kuargue their cases mahakamani.

Watu binafsi wanalipa billions of money? Nani kalipwa billions of money? Wewe?

Huyo Mtikila mwenyewe pamoja na kujua jua sheria lakini bado kesi zake zote anatumia mawakili,do u know why? kuna vitu ambavyo kama hujasoma masomo ya sheria hauwezi kuvifanya kwa usahihi.

Prof. Mahalu pamoja na uprofesa wake wa sheria naye naye alishindwa kuvifanya hivyo vitu? Manake huyu "msomi" haswa. Na kwenye kesi yake aliwakilishwa na wakili.

Procedure tu za kuendesha kesi ni very technical mpaka hata lawyers wenyewe wanachemka wakati mwingine.

Taja procedures 5 tu ambazo ziko very technical.

Hivyo acha kuwapa moyo,ni kweli kuna vitu vichache wanaweza kuelewa lakini ni vingi ambavyo hawawezi kuvielewa na kwa sababu hiyo wanahitaji wanasheria kama wanavyohitaji maji.

Ambavyo hawawezi kuvielewa ni vipi? Orodhesha 10 tu.
 
Kwani hujaelewa?

Hawezi kuelewa kirahisi huyu ni wale "slow learner", mwalimu wangu Dr. Tenga alikuwa anawaita "slow soldiers". Watu wa dizaini hii unaweza kuwasimulia stori ya utani (kuchekesha) and they won't instantly laugh mpaka kesho when you all forgot kuhusu hiyo stori then wao ndio wanaanza kucheka. Ukiuliza mnacheka nini? utasikia "ile stori ya jana noma inachekesha mbaya". Sio makosa yao processor zao ziko chini sana so is Nyani Ngabu.
 
Ni wanasheria pekee ndo wanafahamu vigezo vinginevyo vya kufanya makubaliano kuwa mkataba.

Huu ni uongo ulio uchi kabisa. Usitake kuwafanya watu wengine ni majuha kiasi hicho. Siyo wanasheria pekee ndo wenye kufahamu vigezo vinginevyo vya kufanya makubaliano kuwa mkataba. Muongo kabisa wewe.

Ni wangapi ambao sio wanasheria wanaelewa kuwa kuna watu hawaruhusiwi kuingia kwenye mikataba,ni watu gani na kwa nini?

This is common sense! Huwezi kuingia mkataba na mtoto mdogo. Huwezi kuingia mkataba na mtu asiye na akili timamu. Huwezi kuingia mkataba na mtu ambaye hajitambui.

Ni mtu gani atakayeshindwa kuyatambua hayo mambo? Mambo mepesi mepesi ya common sense unayafanya yawe kama rocket science.

Kwa taarifa yako, sheria siyo rocket science hata kidogo.
 

Wewe utaniita majina yote. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa ulishindwa kujibu maswali yangu. Pia, haiondoi ukweli kuwa ulichemka uliposema ualimu siyo fani.

Huna hoja yoyote ya maana zaidi ya kujikweza kweza wakati huna lolote unalomzidi yeyote humu ndani.

Na kwa taarifa yako, si wewe tu uliyesomea (kama kweli hata umeisomea hiyo sheria) sheria.

Haya endelea kuchemka and I'll call you out on it each and every time, no exceptions, without fail.
 

uwezo ndo wako umeishia hapo, huwezi kuelezea zaidi ya hapo na hiyo ni kwa sababu umedesea google. Kuna ishu nyingi tu kwenye capacity to contract ambazo huzifahamu sio kutaja tu hao ambao umewataja, ambao pia kuna watu wengine umewasahau ambao wewe unaweza kuingia nao mkataba pia. Kubali tu haujui
 

Kwa mfano google ujue vice president wa kenya amemlipa mwanasheria wake anayemtetea ICC how much? Hatuko darasani hapa kufundisha vilaza, sina haja ya kulist technicalities , find yourself a case go to court and get your ass screwed basing on techicalities. Then you will have some respect to the learned ones.
 

Sometimes we should agree to disagree. Baki na mawazo yako, nitabaki na yangu. Believe what you believe and get your ass kicked and I will definitely help to kick them.
 
uwezo ndo wako umeishia hapo, huwezi kuelezea zaidi ya hapo na hiyo ni kwa sababu umedesea google.

Jipe moyo kwamba nimedesa. Hilo halinisumbui kwa sababu hujui kabisa background yangu. Umeimeza hook, line and sinker mantra ya ubeba maboksi wangu bila hata kufikiria. Shameful.

Kuna ishu nyingi tu kwenye capacity to contract

Upo hapa unajidai "msomi" lakini huna specifics zozote zile. Eti "kuna ishu nyingi tu kwenye capacity to contract", zitaje basi. Siyo kutoa mi broad generalities isiyo na mbele wala nyuma. Kama zipo "nyingi" hivyo, basi huwezi kushindwa kutaja hata 10. Zitaje sasa.....

ambazo huzifahamu

Unajuaje sizifahamu? Unanijua? Unaijua background yangu? Are you that gullible to fall hook, line and sinker for my ubeba maboksi?

sio kutaja tu hao ambao umewataja,

Walau mimi nimetaja wawili watatu. Wewe unaishia kusema "nyingi", "nyingi", huna specifics zozote. Jana yenyewe umeshindwa kutaja kanuni ulizozitaja. Unajua nini wewe?

ambao pia kuna watu wengine umewasahau ambao wewe unaweza kuingia nao mkataba pia. Kubali tu haujui

Mara useme 'sijui', mara useme 'nimewasahau'...which is which now? Kama 'sijui' 'nitawasahauje' sasa? Mtu anaweza kusahau asichokijua? Wewe mantiki ni zero kabisa. Ufahamu nao hafifu.

Jipange upya before I go full throttle on you.
 

Nani kasema kuwa ni mimi peke yangu nimesomea sheria? unaweza kuwa umesomea sheria na haukuelewa.Pia uwe umesoma au haukusoma hiyo ni juu yako mwenyewe na watu wanaokufahamu.
Keep this in mind "Lawyers are learned and others are educated" ,you should always notice that difference.
 

punguza jaziba, hilo swala la ubeba boksi ni wewe mwenyewe ulisema wala haukuulizwa sasa kwa nini unatokwa povu.
Nimesema umewasahau kwenye hiyo orodha yako uliyowataja hao watu kwa kuwa najua utakuwa ulidesea.
sentensi ya mwisho ni hitimisho tu la jumla kuwa haujui kitu kiujumla.
 

background, background....funguka tujue kama umesoma sheria au la. Nani ni mtabiri hapa ambaye atajua tu background yako
 

siwezi kuvitaja hivyo vitu kwa sababu najua mwanasheria wa kawaida tu akisoma atajua nilikuwa nazungumzia nini. Mambo ya wanasheria waachie wanasheria wenyewe. We jua tu kuwa kuna vitu vingi vya kitaalam vya sheria usivyovifahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…