Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge lipi?Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Hivi nchi hii usalama wa taifa upo kweli? Inawezekaje wakakaa kimya kuona mambo haya yanafanyika? Mariasili ya misitu, hifadhi zetu za taifa njia zote kuu za usafirishaji na bandari zetu zote anapewa mwarabu wa Dubai kuzimiliki. Hapo usalama na uchumi wa taifa letu utabaki salama kweli?Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Maza kaja kwa kazi moja tu kuuza nchi.Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Wewe hujui?Siku hizi kuna biashara ya utumwa
Tuliza tako we lofa, kafanye kazi upunguze huo umaskini wa ukoo wenu. Kila Mara unakuja na post za kipuuzi, nyau km wewe raise hata anakuja? Unafikiri rais ni yule shangazi wako wa kijijini kwenu?Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Mheshimiwa, kwa bunge lipi hili la akina ndiyo? The difference is the same!😎Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Kwanini hukugombea wewe km kweli una akili. Zuzu tu weweWabunge wa kupelekewa hiyo mikataba ndo akina Ndiyoooooo? Kifupi hakuna hoja itapita ndani ya bunge iliyoasisiwa na ccm isiungwe mkono. Wataunga mkono hoja.
Wale wanawaza hela tu
ukijadiliwa bungeni tutajua kilichomo, kisha tuchukue hatua madhubuti za kuzuia au kusapotiMheshimiwa, kwa bunge lipi hili la akina ndiyo? The difference is the same!😎
Kwa hiyo tusubiri mahakama za chademaBunge hili la DP world ama? Pia mahakama hizi za CCM ama?
Naunga mkono HOJA 🙏🙏Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Our President:
1) Represents the best interests of all of the people.
2) Represents our nation in talking with foreign nations for the best of our beloved Tanzania.
#Miluzi Mingi Humpoteza Mchungaji
#SiempreJMT[emoji120]
#Mama Anaupiga Mwingi [emoji7]
Unataka mikataba ya kipindi cha Samia tu....!!Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Mbeya, pembezoni mwa nchi huko mfumo wa malipo ya Serikali umechepushwa. Vipi hapa mjini TRA, BANDARI, NATIONAL PARKS, MANISPAA, MAJIJI, VITUO VYA MAZAO BARABARANI, VITUO VYA KUUZIA MAFUTA YA MAGARI ETCWanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali za nchi yetu ipitishwe bungeni.
Sasa tunasikia rais kasaini mkataba wa Ushirikiano na waarabu wa UAE kuhusu misitu yetu. Mkataba haujapitishwa bungeni na sisi wananchi hatujui humo ndani kuna nini!.
Ipo haja mahakama iiagize serikali itii sheria.
Pengine ndiyo maana Samia badala ya kupeleka mikataba hiyo bungeni yeye anakimbilia kubadili sheria ili kuhalalisha uvunjaji wake wa sheria.
Hii maana yake ni kwamba anajua fika wakati anasaini mikataba hiyo, alikuwa anavunja sheria lakini akaamua tu kusaini kwa kuwa anajua atazibsdili sheria zinazombana kumfavor yeye.
Na si mkataba wa misitu tu, tunasilia kuwa kasaini mikataba mingine 37 ambayo hatujui ndani kuna nini.
Ipo haja mahakama imlazimishe mikataba inayopaswa kufikishwa bungeni ifike bungeni!.
Sawa, hutaki hama nchi...Mchungaji bubu ndie anayewapoteza kondoo wake, na wala mchungaji bubu hajaweka mbele maslahi ya watanganyika, usiandike uongo hapa, huyo ana represent interest za waarabu, hao ndio anaowasikiliza na kutenda vile wanavyotaka, huu ndio ukweli.
Kakutoa zawadi wewe tu..Hii umeiweka vizuri, Samia ni kama ameenda kututoa zawadi kwa wajomba zake.
(Our...) ina maana ya wingi.Our President: