Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

Bunge lipi?
Bunge la Tulia unategemea nini?
 
Hivi nchi hii usalama wa taifa upo kweli? Inawezekaje wakakaa kimya kuona mambo haya yanafanyika? Mariasili ya misitu, hifadhi zetu za taifa njia zote kuu za usafirishaji na bandari zetu zote anapewa mwarabu wa Dubai kuzimiliki. Hapo usalama na uchumi wa taifa letu utabaki salama kweli?
 
Maza kaja kwa kazi moja tu kuuza nchi.
 
Siku hizi kuna biashara ya utumwa
Wewe hujui?

Ndiyo maana unang'ang'ana na "best interest" zako unamwachia huyo mtu mwingine ambaye naye anazo "best interests" zake; huku ukidhani yeye ndiye pekee anayeweza kusimamia hizo zako.
 
Tuliza tako we lofa, kafanye kazi upunguze huo umaskini wa ukoo wenu. Kila Mara unakuja na post za kipuuzi, nyau km wewe raise hata anakuja? Unafikiri rais ni yule shangazi wako wa kijijini kwenu?
 
Mheshimiwa, kwa bunge lipi hili la akina ndiyo? The difference is the same!😎
 
Wabunge wa kupelekewa hiyo mikataba ndo akina Ndiyoooooo? Kifupi hakuna hoja itapita ndani ya bunge iliyoasisiwa na ccm isiungwe mkono. Wataunga mkono hoja.

Wale wanawaza hela tu
Kwanini hukugombea wewe km kweli una akili. Zuzu tu wewe
 
Naunga mkono HOJA 🙏🙏
 

Checks and balance lazima.

Magu alikuwa MZALENDO, kutunga SHERIA mikataba ya Rais ije bungeni.

Abarikiwe.
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Unataka mikataba ya kipindi cha Samia tu....!!
You mean iliyosainiwa kabla yake ndo mizuri?
 
Mbeya, pembezoni mwa nchi huko mfumo wa malipo ya Serikali umechepushwa. Vipi hapa mjini TRA, BANDARI, NATIONAL PARKS, MANISPAA, MAJIJI, VITUO VYA MAZAO BARABARANI, VITUO VYA KUUZIA MAFUTA YA MAGARI ETC
 
Mchungaji bubu ndie anayewapoteza kondoo wake, na wala mchungaji bubu hajaweka mbele maslahi ya watanganyika, usiandike uongo hapa, huyo ana represent interest za waarabu, hao ndio anaowasikiliza na kutenda vile wanavyotaka, huu ndio ukweli.
Sawa, hutaki hama nchi...
 
(Our...) ina maana ya wingi.
Ni nani mwingine amekupa mamlaka ya kuzungumza kwa niaba yake!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…