Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Tena Gardener asiombe Radhi kabisa,maana hapo ndo itadhibitisha kuwa kumbekweli alikuwa anamsema Jide na hapo Jide ndo atafungua na kesi kabisa.Gardener kaa kimya hii kesi mpe kibatala tena unashinda mchana kweupe
 
Aseme tu POLEEE...Wanawake Wanapenda sana pole, ila ujumbe ushafika [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sijui tafsiri yako juu ya taraka, Mama yake Caren ni mzazi mwinziwe, na hata mtoto amelelewa naye. Alikuwa anaishi na wazazi wake, official taraka ni ya juzi iliyotolewa kisheria mahakamani na ndiyo hivyo ikawa Ndi ndi ndi ndii
we acha ubishi si mzazi mwenzie tu bali walikuwa wanandoa na wakaachana.
hivyo ni mtalaka wake pia..ukininukuu tena hakikisha huandiki neno 'taraka' ni talaka
 
Usichoelewa ninini juu ya talaka? Hata kama umezaa na mwanamke watoto kumi anaweza kuwa mtalaka wako.kwahiyo huyo mzazi mwenzie Gardner pamoja na JD wote wanaweza kuwa watalaka wa Gardner.
afadhali umesaidia mkuu...huyu mtu anaubishi usiokuwa na mashiko
 
Karusha moja tu mnamind kwani jide karusha mangapi?

Sorry, but ni wazi kabisa kuwa you are missing my point mkuu. Hujanielewa hata kidogo na hukutaka kunielewa. Lakini sikulaumu kwasababu nimepitia comments zako nyingine kwenye hii ishu inaonekana uko kikazi zaidi...Kila la kher mkuu kwenye kutumika huko. Kuwa makini lakini usiharibu reputation yako (ingawa najua unajifariji kwasababu uko nyuma ya keyboard).
 
Mtoto wa Gardner yule wewe vipi.mama mtoto mwenyewe anakiri kakojozwa akamzaa binti mrembo. JD kakojozwa miaka kama 15 lakini habebi mimba.atafute mwanaume mwingine amkojoze.
angalau gadna ana mtoto hata kama kasingiziwa huyo wa jide wa kusingiziwa yuko wapi? ....
 
Mtoto wa Gardner yule wewe vipi.mama mtoto mwenyewe anakiri kakojozwa akamzaa binti mrembo. JD kakojozwa miaka kama 15 lakini habebi mimba.atafute mwanaume mwingine amkojoze.
angalau gadna ana mtoto hata kama kasingiziwa huyo wa jide wa kusingiziwa yuko wapi? ....
Taraka inatolewa kwa ndoa rasmi, iwe ya dini, au serikali huwezi kuzaa na mtu anayeishi na wazazi wake usimuoe ukaita taraka.
wakati gadna anahojiwa na take one alisema kwamba kitu anachojutia ktk maisha yake ni kuachana na 'mke' wake wa kwanza, na hakusema ni mzazi mwenzie. ..sasa sijui tukuamini ww au gadna
 
aombwe radhi kwan g kasema uongo. ??? nan anakubal ukwel??? nan aliluwepo kama akukojozwaaa????
yawezekana kapiteeni alikuwa anamwacha mamaa njiani jamaa nje ndani tayari kamaliza so bidada kinamuuma kijana kujisifia kwamba kamkojoza kwa 15yrs wakati demu hajui hata utamu wa kupizi upoje??? lol
 
watakua na documentary evidence ila nami naiona wazi Habashi akipangua maana hata notisi yenyewe haina tag line
 
hii notisi sidhani kama imeandikwa na wanasheria
 
kama unabariki carelessness ya namna hiyo kwenye sheria basi utakua na taahira ya akili.... ipo siku utasema mtu kufungwa miaka 1.5 na 15 ni error ya kawaida kwasababu mshtakiwa ni mtu huyohuyo

This is krapppy
Another bushlawyer in town....!
 
wote wana makosa yule alimwita mwenzake kichaa na yeye kamjibu...kama vipi Gadner nae akafungue kesi iwe ngoma draw
 
Nipo kikazi kivipi.umechanganyikiwa wewe siyo bure. Nimesema ukweli tu kwamba huyo JD keshamrushia sana vijembe Gardner na alinyamaza inakuwaje yeye apigwe scud moja tu atake kufungua kesi? Situmiwi na mtu yeyote ndugu Captain sijui wala na yeye hanijuwi.
 
point of correction jd sio mtalaka pekee wa Gadna...gadna anawatalaka wawili jide na mamake caren
vipi wataungana kwenye hii kesi hao watalaka?? au tunataka tu kukuza drama ifike hadi kwa mtu aliyekwisha move on na maisha yake?
 
Angeachana nayo anazidi kujidhalilisha au kukuza suala hilo
 
Hapana wacha amshikishe adabu Hugo jamaa in MTU mzima ana binti Mkubwa anazungumza lugha ya kihuni aadhibiwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…