Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Got your point Friend. Pamoja sanaTaraka inatolewa kwa ndoa rasmi, iwe ya dini, au serikali huwezi kuzaa na mtu anayeishi na wazazi wake usimuoe ukaita taraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Got your point Friend. Pamoja sanaTaraka inatolewa kwa ndoa rasmi, iwe ya dini, au serikali huwezi kuzaa na mtu anayeishi na wazazi wake usimuoe ukaita taraka.
Tena Gardener asiombe Radhi kabisa,maana hapo ndo itadhibitisha kuwa kumbekweli alikuwa anamsema Jide na hapo Jide ndo atafungua na kesi kabisa.Gardener kaa kimya hii kesi mpe kibatala tena unashinda mchana kweupeKwa wale wasioelewa hapo ndipo inapotumika circumstantial evidence na kushtukia Gardner chali.Kwani kwa yeye kumwomba radhi Jaydee ni nini kinapungua?Asidanganywe na hao wanawake waliomwingiza kingi akidhani watamsaidia gharama za kumlipa Jaydee na gharama zake si za pole pole.Siioni nafasi yake kushinda kesi.Kama umri wa Gardner ni mkubwa wa kuwa na binti wa kiasi hicho angeomba vipindi kwenye radio yao vinavyoendana na umri wake na kama elimu ndio tatizo akubali aibu kwani anaweza kuwaalika wadada studio na binti yake akawemo kipindi hakitanoga.
sawa, ww mhogoWewe kiazi, hiyo JD ni Mimi nimefupisha
Bora hata muhogosawa, ww mhogo
we acha ubishi si mzazi mwenzie tu bali walikuwa wanandoa na wakaachana.Sijui tafsiri yako juu ya taraka, Mama yake Caren ni mzazi mwinziwe, na hata mtoto amelelewa naye. Alikuwa anaishi na wazazi wake, official taraka ni ya juzi iliyotolewa kisheria mahakamani na ndiyo hivyo ikawa Ndi ndi ndi ndii
afadhali umesaidia mkuu...huyu mtu anaubishi usiokuwa na mashikoUsichoelewa ninini juu ya talaka? Hata kama umezaa na mwanamke watoto kumi anaweza kuwa mtalaka wako.kwahiyo huyo mzazi mwenzie Gardner pamoja na JD wote wanaweza kuwa watalaka wa Gardner.
Karusha moja tu mnamind kwani jide karusha mangapi?
angalau gadna ana mtoto hata kama kasingiziwa huyo wa jide wa kusingiziwa yuko wapi? ....Mtoto wa Gardner yule wewe vipi.mama mtoto mwenyewe anakiri kakojozwa akamzaa binti mrembo. JD kakojozwa miaka kama 15 lakini habebi mimba.atafute mwanaume mwingine amkojoze.
angalau gadna ana mtoto hata kama kasingiziwa huyo wa jide wa kusingiziwa yuko wapi? ....Mtoto wa Gardner yule wewe vipi.mama mtoto mwenyewe anakiri kakojozwa akamzaa binti mrembo. JD kakojozwa miaka kama 15 lakini habebi mimba.atafute mwanaume mwingine amkojoze.
wakati gadna anahojiwa na take one alisema kwamba kitu anachojutia ktk maisha yake ni kuachana na 'mke' wake wa kwanza, na hakusema ni mzazi mwenzie. ..sasa sijui tukuamini ww au gadnaTaraka inatolewa kwa ndoa rasmi, iwe ya dini, au serikali huwezi kuzaa na mtu anayeishi na wazazi wake usimuoe ukaita taraka.
yawezekana kapiteeni alikuwa anamwacha mamaa njiani jamaa nje ndani tayari kamaliza so bidada kinamuuma kijana kujisifia kwamba kamkojoza kwa 15yrs wakati demu hajui hata utamu wa kupizi upoje??? lolaombwe radhi kwan g kasema uongo. ??? nan anakubal ukwel??? nan aliluwepo kama akukojozwaaa????
Another bushlawyer in town....!kama unabariki carelessness ya namna hiyo kwenye sheria basi utakua na taahira ya akili.... ipo siku utasema mtu kufungwa miaka 1.5 na 15 ni error ya kawaida kwasababu mshtakiwa ni mtu huyohuyo
This is krapppy
Nipo kikazi kivipi.umechanganyikiwa wewe siyo bure. Nimesema ukweli tu kwamba huyo JD keshamrushia sana vijembe Gardner na alinyamaza inakuwaje yeye apigwe scud moja tu atake kufungua kesi? Situmiwi na mtu yeyote ndugu Captain sijui wala na yeye hanijuwi.Sorry, but ni wazi kabisa kuwa you are missing my point mkuu. Hujanielewa hata kidogo na hukutaka kunielewa. Lakini sikulaumu kwasababu nimepitia comments zako nyingine kwenye hii ishu inaonekana uko kikazi zaidi...Kila la kher mkuu kwenye kutumika huko. Kuwa makini lakini usiharibu reputation yako (ingawa najua unajifariji kwasababu uko nyuma ya keyboard).
yeppp, its fine with the bush.... at least we dont accept shoddy shoddy cra-p-p-y stuffAnother bushlawyer in town....!
vipi wataungana kwenye hii kesi hao watalaka?? au tunataka tu kukuza drama ifike hadi kwa mtu aliyekwisha move on na maisha yake?point of correction jd sio mtalaka pekee wa Gadna...gadna anawatalaka wawili jide na mamake caren