Nitakupa namba DM ya mwanasheria mmoja ninamuamini sana. Aliwahi kutana na kesi kama hiyo.Wakuu habari zenu.
Kuna jambo ningetamani kupata muongozo na ikiwezekana nijipange tupate mwanasheria mzuri wa kesi za kuzurumiwa nyumba, tena aliefanya hichi kitendo ni hakimu mstaafu,na ndio sababu hata hakimu alieamua kesi akafanya maamuzi ya kujuana na kupindisha sheria nyumba akapewa wakati mzee alinunua nyumba kwake kwa makubaliano maalumu ya kulipa kwa muda fulani, na alikua amemaliza kulipia na kuzikarabati (ziko 2, main house na ndogo) then akaumwa ghafla na akafariki, msiba umeisha after 2 years anakuja kusema bado ni yake na alikua mkoa jirani tu. Nitaelezea zaidi kuhusu kesi ilikuaje akaja na hizo habari mpaka mwisho but sio hapa in public.
Wanasheria wa kesi kama hizi unaweza kunidm nikakupa full details of what happened then unishauri naweza kufanya aje.
Pia naomba ushauri wa best lawyer unaeweza nishauri nimuone anaeweza nisaidia hii kesi vizuri zaidi🙏, we need help.
Ninamtaka hata mmNitakupa namba DM ya mwanasheria mmoja ninamuamini sana. Aliwahi kutana na kesi kama hiyo.
Mpangaji wake kuko Msakuzi alitemgemeza documents kisha akazitumia kukopa mkopo CRDB. Na mkopo akashindwa kuu service kisha CRDB wakatoa taarifa ya kupiga mnada ndani ya siku 5. Lakini huyu mwanasheria aliweza kuzuia
Nitakupa namba yake inboxNinamtaka hata mm
Asante mkuu, wacha niende dm, sorry sikua online kwa muda nilikua safari.Nitakupa namba DM ya mwanasheria mmoja ninamuamini sana. Aliwahi kutana na kesi kama hiyo.
Mpangaji wake kuko Msakuzi alitemgemeza documents kisha akazitumia kukopa mkopo CRDB. Na mkopo akashindwa kuu service kisha CRDB wakatoa taarifa ya kupiga mnada ndani ya siku 5. Lakini huyu mwanasheria aliweza kuzuia
Tayari nimekutumia namba DMNinamtaka hata mm
Barikiwa sana mkuu nimeipataTayari nimekutumia namba DM