Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

mm tangu ile hotuba yake aliosema kuna watu.wamekaa kikako na walioyaongea nayajua,nikajua huyu mama kuna vijana wanamdanganya kwa makusudi kua kuna maadui wa kuwashugulikia. hivi kina mbowe hawa wa miaka nenda rudi wana lipi jipya la kuisumbua tanzania yetu!!

anatakiwa aogope ccm wenzio kama watathubutu kuka vikao vya siri lakini hakuna mpinzani kwasasa mwenye makucha wa kuleta shida kwa yeyote.
Kuna nazi na koroma mkuu! Nazi Itajua kupembua kilicho cha kweli na cha uongo, koroma litazoa kila kitu!
 
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.

Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu

Somo la leo ni somo la kitu kinachoitwa vicarious liability. Haya ni mahusiano ya uwajibikaji wa kisheria yanayoitwa fiduciary relationship, yaani uhusiano wa uwajibikaji Kama mke na mume, mzazi na mtoto, daktari na mgonjwa, mwalimu na mwanafunzi, wakili na mteja wake.

Hii fiduciary relationship inampa uwajibikaji wa kisheria wahusika hao, ikiwemo mzazi kuhukumiwa kwa makosa ya mtoto wake wa umri wa chini ya miaka 14.

Kinga hii pia inahusu kutotoa ushahidi dhidi ya mtu huyo, mfano mke akijua mumewe ni jambazi, na ni muuaji, anaweza kusema kuwa anajua mumewe ni jambazi na muuaji ila ana kinga ya fiduciary kutowajibika kutoa ushahidi dhidi ya mumewe. Vivyo hivyo kwa sisi mawakili, unaweza ukawa ni wakili wa muuaji, akakiri ameua kwa 1st degree murder, wewe japo ukweli unaujua, utamshauri akanushe na utamtetea hadi hiyo murder case inageuka manslaughter.

Sasa kuna mauaji mengi yanayotokea na kuwahusisha watu wasiojulikana, kiukweli sio wasiojulikana wote ni wasiojulikana kweli, kuna baadhi ya mauaji yanafanywa na watu "wasiojulikana" kumbe kiukweli watu hao sio "wasiojulikana" bali ni 'wasiojulikana'.

Ili kuwatambua "wasiojulikana" na 'wasiojulikana' tembelea Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Hivyo vitendo vyovyote vinavyofanywa na 'wasiojulikana' kwa kujifanya ni "wasiojulikana", then anayewatuma ana wajibika nao vicariously.

Hoja hii ni kufuatia hoja hii humu jf Naunga mkono hoja, mtu mwenye wajihi kama huu, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” hawezi hata kuua panya!, kama ni kuua labda mbu, mende na sisimizi.

Ila kwa vile yuko serikalini na yeye ndie mkuu wa serikali, na anajua kuna mazingira fulani, serikali zote duniani huwa zina waua watu hatarishi kwa usalama wa nchi, dissidents, na kabla hawa dissidents hawajauliwa lazima CinC asaini ile death warrant, then death warrant yoyote ikisainiwa, aliyeua ni aliyesaini death warrant na sio wale watekelezaji.

Ikitokea makosa ya watu wake kumuua kwa makosa mtu safi kwa kudhaniwa ni dissident, then the blood of that person is upon aliyetoa hiyo order kwa niaba yake.

Na kunapotokea vifo ambavyo vingezuilika kwa kufanya kitu lakini hakikufanyika, then damu iliyomwagika is upon yule ambaye angezuia lakini hakuzuia.

Hivyo tumeshauri Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Hata yale matukio ya utekaji, utesaji na mauaji enzi za kipindi kilee... watu humu tulishauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! hao majamaa wali mute kimya, wakijua hawawezi kufanywa lolote, lakini mwisho wa siku aliyewajibishwa na top boss wao!.

Hivyo ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuijua hii vicarious liability kwa vifo vyovyote vya kizembe vinavyotokea chini ya mamlaka yao hata kama hawatashitakiwa popote, lakini hukumu ya haki hapa duniani ya karma ii juu yao!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako! tena tumewashauri watu waache kupiga ramli chonganishi Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.

Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.

Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"

Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.

Paskali

Umeelezea kwa kirefu sana kama vile unawafundisha watu wengi ambao ni wageni wa haya mambo. Pia umetumia Busara kubwa kuwasilisha ujumbe wako kwani unajua hatawewe unapigwa chabo ukijilengeshe tu kwenye 18 zao na wewe unaliwa kichwa. Ukisha onja nyama ya mtu uachi hata siku moja. Wamesha onja nasikia huwa haitaji kuwekwa chumvi.
 
Sasa wewe "Paskali" si unakutana nao huko high street, na pia kuna vituo kama uongozi institute, si mgekuwa mnawapa kozi fupi kuhusu uchumi, Sheria, na utawala bora
 
Samia akiwa mwanamama wa kiislam anaweza kuaminika kwa kauli yake. Lakini nafasi yake ya urais ni mamlaka makubwa na taasisi zote zipo chini yake.

Kama ameitenda hiyo dhambi ya mauaji na atubu kwa uwezo wake wote na nia itoke moyoni mwake. Bahati nzuri Uislam au Ukristo kwa ujumla unatambua nini maana ya kutubu pale unapokosea.
Mkuu Steve, Steven Joel Ntamusano,
Kwanza naomba nikuhakikishie Rais Samia ni mkweli kabisa, kama ni kuua, ameua sisimizi tuu, ila anajua watu wake wanafanyaga nini, akiwa VP alimtembelea Lissu hospitalini Nairobi na kulihakikishia taifa, wale sio watu wao, watu wetu ukikosa mbili unaandika maelezo!.

Kanuni ya vicarious liability anatamka mamlaka ndio inabeba the final responsibility kwa matendo ya maofisa wake, hivyo kama ni watu wake, anapaswa kusafisha. Ile 1976 Nyerere aliwasafisha!.

Mazingira ya baadhi ya matukio haya suggest sio "wasiojulikana" bali ni 'wasiojulikana', hivyo kwa vile kwa mujibu wa Katiba yetu, the right to life iko kwenye katiba yetu, ila kuna mazingira fulani inaondolewa na mamlaka pekee ya kusaini death warrant ni mamlaka moja tuu, President of URT, ikitokea wamefanya walichokifanya bila kumhusisha au kumdanganya hao watu ni dissidents, they deserve to be eliminated, vicarious liability inasema the one responsible ni mamlaka na sio watekelezaji.

Ndio maana tumewahi kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Hivyo kama kuna watu wake wanatenda vitendo hivyo behind the closed doors, awashughulikie vinginevyo watamponza bure yeye na karma ikaja kumshukia.

Sisi wenye jicho la tatu, tunaumia sana jinsi watu wake wanavyomset na issues za uhaini just to justify vitendo vyao viovu!. Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies! hili la uhaini nimeliendeshea darasa humu na magazetini Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

Mtu Watanzania waliomkabidhi dhamana ya maisha yao ni mtu mmoja, watumishi wote wa umma, wanafanya kazi kwa niaba ya mtu mmoja tuu, the big boss, wakiharibu kazi wanatakiwa kuwajibishwa, wasipowajibishwa then the vicarious liability shifts to the boss!.

Waswahili wana kamsemo chao cha mchelea mwana kulia, hulia yeye!.

P
 
Sasa wewe "Paskali" si unakutana nao huko high street, na pia kuna vituo kama uongozi institute, si mgekuwa mnawapa kozi fupi kuhusu uchumi, Sheria, na utawala bora
Thanks, this is food for thought.
P
 
mm tangu ile hotuba yake aliosema kuna watu.wamekaa kikako na walioyaongea nayajua,nikajua huyu mama kuna vijana wanamdanganya kwa makusudi kua kuna maadui wa kuwashugulikia. hivi kina mbowe hawa wa miaka nenda rudi wana lipi jipya la kuisumbua tanzania yetu!!

anatakiwa aogope ccm wenzio kama watathubutu kuka vikao vya siri lakini hakuna mpinzani kwasasa mwenye makucha wa kuleta shida kwa yeyote.
Ile hotuba ni ya hovyo sana tangu kuumbwa kwa Tanganyika.
 
Kiserikali na family matters ni ‘Strict liability’ this can be used on criminal and sometimes civil cases (depends on the demand of evidence required).

Kibiashara ni ‘vicarious liability’ only, mainly applied in tort law and not applicable in criminal cases.

Kwenye ‘vicarious liability’ you don’t need a ‘mens rea’. Ili kutaka muhusika wa juu ahusike kwa sababu. Only ‘actus reus’ is enough maana unaemshtaki anaweza asiwe na uwezo kukulipa fidia kwa makosa yake (in civil cases)..

Kwenye jinai lazima uonyeshe ‘actus reus’ and ‘mens rea’ ili mtu unae mtuhumu awe implicated kwenye case husika

Ndio maana uwezi tumia ‘vicarious liability’ kwenye criminal case, labda utatumia strict liability kuna hiyo possibility (ya kupata ‘mens Rea’) maana ni lazima uonyeshe unaemtuhumu alikuwa na uelewa wa crime husika.

Liability depends on direct partcipation in criminal cases, not vicariously.
 
Sijui SSH kapatwa na nini. Mambo yanayofanyika wakati huu hayaingii akilini kabisa.

Hii miaka minne aliyopewa na Mungu kuliongoza taifa hili angeweza kuacha legacy ya uhuru kamili! Vizazi na vizazi vingemshukuru na kumkumbuka daima.

Lakini yeye ameamua kuitumia kusaka mitano tena kwa njia yoyote ile. What a waste!
Hadi mi huwa najiuliza: 'hivi huyu ni yule S. Suluhu wa Bunge la Katiba kweli, au ni crony from no where tumepandikiziwa? '

Maana haendani na naibu Spika wa Bunge la Katiba, yaani ni watuwa wili tofauti kabisa!

Ninakosa sana raha na Rais huyu mimi.
 
Sijawahi muona Rais ameshika tofali akijenga shule, ila tunaambiwa rais kajenga shule au Rais anachimba mtaro wa kupitisha mabomba ya maji, lakini tunaambiwa raisi kapeleka maji mji flan, ni mfano tu.
Hivyo anavikubali kuwa kafanya yeye.
 
Sawa

Mkapa: Najutia madhara yaliyowakuta Wanachama wa CUF wengine wakakimbilia Shimoni Mombasa

Magufuli: Sijawahi kusaini Hati ya Hukumu ya Kifo hata Moja, Uhai tumepewa na Mungu

Mh Rais Samia: Sijawahi kuua labda sisimizi

Prof Kindiki: Mimi natimiza majukumu yaliyomo kwenye Katiba kama Polisi wameuwa kila Mtu atabeba Msalaba wake mwenyewe

Kiroho haya mambo ni mapana sana
Mnasemaga Eti kwenye Siasa Mungu hayupo huko !!
Au nasema uongo ??!
 
Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.

Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu

Somo la leo ni somo la kitu kinachoitwa vicarious liability. Haya ni mahusiano ya uwajibikaji wa kisheria yanayoitwa fiduciary relationship, yaani uhusiano wa uwajibikaji Kama mke na mume, mzazi na mtoto, daktari na mgonjwa, mwalimu na mwanafunzi, wakili na mteja wake.

Hii fiduciary relationship inampa uwajibikaji wa kisheria wahusika hao, ikiwemo mzazi kuhukumiwa kwa makosa ya mtoto wake wa umri wa chini ya miaka 14.

Kinga hii pia inahusu kutotoa ushahidi dhidi ya mtu huyo, mfano mke akijua mumewe ni jambazi, na ni muuaji, anaweza kusema kuwa anajua mumewe ni jambazi na muuaji ila ana kinga ya fiduciary kutowajibika kutoa ushahidi dhidi ya mumewe. Vivyo hivyo kwa sisi mawakili, unaweza ukawa ni wakili wa muuaji, akakiri ameua kwa 1st degree murder, wewe japo ukweli unaujua, utamshauri akanushe na utamtetea hadi hiyo murder case inageuka manslaughter.

Sasa kuna mauaji mengi yanayotokea na kuwahusisha watu wasiojulikana, kiukweli sio wasiojulikana wote ni wasiojulikana kweli, kuna baadhi ya mauaji yanafanywa na watu "wasiojulikana" kumbe kiukweli watu hao sio "wasiojulikana" bali ni 'wasiojulikana'.

Ili kuwatambua "wasiojulikana" na 'wasiojulikana' tembelea Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Hivyo vitendo vyovyote vinavyofanywa na 'wasiojulikana' kwa kujifanya ni "wasiojulikana", then anayewatuma ana wajibika nao vicariously.

Hoja hii ni kufuatia hoja hii humu jf Naunga mkono hoja, mtu mwenye wajihi kama huu, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” hawezi hata kuua panya!, kama ni kuua labda mbu, mende na sisimizi.

Ila kwa vile yuko serikalini na yeye ndie mkuu wa serikali, na anajua kuna mazingira fulani, serikali zote duniani huwa zina waua watu hatarishi kwa usalama wa nchi, dissidents, na kabla hawa dissidents hawajauliwa lazima CinC asaini ile death warrant, then death warrant yoyote ikisainiwa, aliyeua ni aliyesaini death warrant na sio wale watekelezaji.

Ikitokea makosa ya watu wake kumuua kwa makosa mtu safi kwa kudhaniwa ni dissident, then the blood of that person is upon aliyetoa hiyo order kwa niaba yake.

Na kunapotokea vifo ambavyo vingezuilika kwa kufanya kitu lakini hakikufanyika, then damu iliyomwagika is upon yule ambaye angezuia lakini hakuzuia.

Hivyo tumeshauri Kama Walioua ni "Wasiojulikana" Then Karma, Albadir Itawahusu, ila kama ni 'Wasiojulikana', Hata Albadir Haisaidii Kitu, Wametimiza Tuu Wajibu Wao!

Hata yale matukio ya utekaji, utesaji na mauaji enzi za kipindi kilee... watu humu tulishauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! hao majamaa wali mute kimya, wakijua hawawezi kufanywa lolote, lakini mwisho wa siku aliyewajibishwa na top boss wao!.

Hivyo ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuijua hii vicarious liability kwa vifo vyovyote vya kizembe vinavyotokea chini ya mamlaka yao hata kama hawatashitakiwa popote, lakini hukumu ya haki hapa duniani ya karma ii juu yao!. The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako! tena tumewashauri watu waache kupiga ramli chonganishi Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.

Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.

Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"

Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.

Paskali

The Culprit is "Fear for change" ndio maana inatumika nguvu kubwa kutuaminisha kuwa mabadiliko yataleta machafuko🤣 ilihali nafsi za watu zIshachafukwa tayari. Tuitunze tunu ya Amani!!!
 
Kwa kauli ile kuna kitu hakipo sawa kabisa nchi hii!
Huenda kuna "raisi" mwingine zaidi ya mama na anatakiwa atuambie ni nani huyo!
 
Hii rule inafanyakazi mahali ambapo uongozi sio ajira.
La, uongozi huku ni kulana a.k.a survival of the fittest
 
Back
Top Bottom