Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

Hao ni wapigania uhuru.
Kama Israel isingewafanyia ukoloni wasingekuwa na haja ya kurusha hayo maroketi.
KWANINI WANARUSHA ROKETI KWENYE MITAA AMA MAJENGO YALIYOJAA RAIA WEMA WA KIPALESTINA BADALA YA KWENDA KURUSHIA MISITUNI ?


 
Endelea kuamini propaganda.
Propaganda zipi wakati hata wapalestina wenyewe wanarekodi ??

Makombora yanarushwa na yanapita sehemu zilizojaa raia wema wengi, Makombora mengine huwa yanafeli yanadondoka na kulipuka, Ni hatari kufanya hivi !!

 
Waziri braverman wa uingereza alifutwa kazi baada ya kutishia maandamano yanayounga mkono palestina. Nadhani shida ipo Kwa hao hammas.
 
Suala sio kuripoti habari za Hamas bali ni issue tofauti inayohusiana na "material support" kwa makundi ya "kigaidi" kwa mujibu wa sheria za Marekani.

Pitia the USA PATRIOT Act ya mwaka 2001.

Taarifa iliyokaa vyema zaidi ni hii hapa nimeambatanisha hapo chini (Fox News) kuhusiana na hao AGs wa Republican.

More than a dozen state attorneys general signed a letter to media outlets such as the New York Times and Reuters, putting them "on notice" that providing material support to terrorist organizations such as Hamas is illegal, Fox News Digital exclusively learned.
 
Is that all a jihadist could offer? ☺️
I was actually expecting a massive explosion from one of your suicide vests tied across your waist
Hicho kingereza chako cha ugoko ni dalili ya kuishiwa hoja,
Explotion sio kwa kina Mama kama wewe,hayo yatakua ni matumizi mabaya ya resource.
 
Suala sio kuripoti habari za Hamas bali ni issue tofauti inayohusiana na "material support" kwa makundi ya "kigaidi" kwa mujibu wa sheria za Marekani.

Pitia the USA PATRIOT Act ya mwaka 2001.

Taarifa iliyokaa vyema zaidi ni hii hapa nimeambatanisha hapo chini (Fox News) kuhusiana na hao AGs wa Republican.

More than a dozen state attorneys general signed a letter to media outlets such as the New York Times and Reuters, putting them "on notice" that providing material support to terrorist organizations such as Hamas is illegal, Fox News Digital exclusively learned.
Hamas ni kundi la kigaidi ?
 
Hmas wanarusha roketi juu ya maghorofa ya Gaza ambayo ni makazi ya watu, na hata wao huwa wanaposti kwenye channel yao ya telegram na kujifia kwamba makombora yatafika Israel.

View attachment 2834594
Hahaha huo uharo ulioweka ni nini hiyo chanel ya mambwana. zako Hamas wanaendeleza kichapo tu gaza.
Al-Qassam (Hamas):

We were able to snipe 6 Zionist soldiers in the eastern axis Khan Yunis, causing significant injuries.
 

Attachments

  • IMG_7498.jpeg
    IMG_7498.jpeg
    45.6 KB · Views: 3
Ushoga kitu kibaya sana yaani shaga mwenzake akisema lazima afuate hata kama ni uongo.
Kila mjadala unao husu HAMAS wewe unawaza USHOGA tu. Afya yako ya akili iko sawa?
 
Israel ni taifa la kigaidi ?
Jibu lake ni subjective! Ni suala la mtazamo!

Kwa maoni yangu, hakuna muafaka wowote kuhusiana na maana halisi ya msamiati "taifa la kigaidi" (terrorist state) katika masuala ya mahusiano ya kimataifa. Wala hakuna kigezo chochote kile chini ya sheria ya kimataifa kinachotumika kutangaza kwamba taifa fulani ni "taifa la kigaidi".
 
Wapo sahihi, huwezi kuwapamba Hamas wanaoweka maisha ya wapalestina hatarini.

silaha za kurusha makombora wanaziweka kwenye makazi ya watu, misikiti, shule, n.k. wanafanya hivi maksudi ili watumie raia wema kama ngao, Makombora yakianza kurushwa kwenda kuwaua waisrael, Jeshi la Israel likilipua majengo yenye silaha wao wanarekodi wapalestina waliolipuliwa, wanaficha ukweli kwamba waliwkuwa wanarusha makombora kwenye majengo ya makazi ya watu.

Vuta picha huu mtambo unarusha roketi kama 20 kwa dakika na ni juu ya ghorofa la makazi ya watu, Makombora hayo yanaenda kuua waisrael, hapo Israel wakilipua jengo lenye mtambo huo ili kunusuru maisha ya waisrael na wapalestina wanaolipukiwa na makombora yasiyofika Israel, wa kulaumiwa ni nani ?


View attachment 2834609
Issue sio kuwapamba hamas bali ni kuviacha vyombo vya habari viwe huru kuripoti kinachotokea.
Kwanini waanze kuwatisha waandishi wa habari? Hawawaamini na habari wanazotoa?

Kama hamas inatumia Kinga ya raia viachwe vyombo vya habari viripoti, Kama waisrael wanaua wapalestina wasio na hatia wakati wakijua hamas hawapo hapo basi vyombo vya habari viachwe viripoti.

Wenye akili timamu watachuja ukweli ni upi kwa facts na kuona kosa ni la nani,

Binafsi niungane na mtoa mada ya kwamba kila nchi inaangalia maslahi yake, Uhuru wa vyombo vya habari kwa marekani utadhibitiwa tuu ikiwa unaenda tofauti na maslahi yake.
 
Back
Top Bottom