Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Nilipo kuuliza kuhusu Hamas hukuleta ngonjera hizi ulienda straight to the point ila nimekuuliza kuhusu Israel unaniletea ngonjera na maneno mengi yasiyo na maana.Jibu lake ni subjective! Ni suala la mtazamo!
Kwa maoni yangu, hakuna muafaka wowote kuhusiana na maana halisi ya msamiati "taifa la kigaidi" (terrorist state) katika masuala ya mahusiano ya kimataifa. Wala hakuna kigezo chochote kile chini ya sheria ya kimataifa kinachotumika kutangaza kwamba taifa fulani ni "taifa la kigaidi".
Swali ni hili. Israel ni taifa la kigaidi ? Nasubiri jibu