sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
KWANINI WANARUSHA ROKETI KWENYE MITAA AMA MAJENGO YALIYOJAA RAIA WEMA WA KIPALESTINA BADALA YA KWENDA KURUSHIA MISITUNI ?Hao ni wapigania uhuru.
Kama Israel isingewafanyia ukoloni wasingekuwa na haja ya kurusha hayo maroketi.
Endelea kuamini propaganda.Hmas wanarusha roketi juu ya maghorofa ya Gaza ambayo ni makazi ya watu, na hata wao huwa wanaposti kwenye channel yao ya telegram na kujifia kwamba makombora yatafika Israel.
View attachment 2834600
Propaganda zipi wakati hata wapalestina wenyewe wanarekodi ??Endelea kuamini propaganda.
Is that all a jihadist could offer? βΊοΈUmeandika kwa hasira na chuki utafikiri umechukuliwa mumeo.
Hicho kingereza chako cha ugoko ni dalili ya kuishiwa hoja,Is that all a jihadist could offer? βΊοΈ
I was actually expecting a massive explosion from one of your suicide vests tied across your waist
Ustaz Mukhaila Masatu, today is jumaat...Hicho kingereza chako cha ugoko ni dalili ya kuishiwa hoja,
Explotion sio kwa kina Mama kama wewe,hayo yatakua ni matumizi mabaya ya resource.
Hamas ni kundi la kigaidi ?Suala sio kuripoti habari za Hamas bali ni issue tofauti inayohusiana na "material support" kwa makundi ya "kigaidi" kwa mujibu wa sheria za Marekani.
Pitia the USA PATRIOT Act ya mwaka 2001.
Taarifa iliyokaa vyema zaidi ni hii hapa nimeambatanisha hapo chini (Fox News) kuhusiana na hao AGs wa Republican.
More than a dozen state attorneys general signed a letter to media outlets such as the New York Times and Reuters, putting them "on notice" that providing material support to terrorist organizations such as Hamas is illegal, Fox News Digital exclusively learned.
AGs fed up with NYT, CNN Hamas coverage issue stern warning: βFollow the lawβ
Led by Iowa Attorney General Brenna Bird, 14 state AGs signed a letter to four media outlets reminding them it's illegal to provide material support to terrorists.www.foxnews.com
Mkuu unaonaje ukaenda kujiunga na HAMAS usiwe brainwashed kama sie?Umekua braiwashed na western media au umeamua tu kujifyatua akili kwa chuki zako za udini.
Ndio.Hamas ni kundi la kigaidi ?
Israel ni taifa la kigaidi ?Ndio.
Hahaha huo uharo ulioweka ni nini hiyo chanel ya mambwana. zako Hamas wanaendeleza kichapo tu gaza.Hmas wanarusha roketi juu ya maghorofa ya Gaza ambayo ni makazi ya watu, na hata wao huwa wanaposti kwenye channel yao ya telegram na kujifia kwamba makombora yatafika Israel.
View attachment 2834594
πππHata kwenye social media wameanza kupiga watu mkwara
Marekani unaweza Kumsema vibaya Yesu kadri utakavyo, lakini ole wako useme ukweli juu ya Zionists!
Kila mjadala unao husu HAMAS wewe unawaza USHOGA tu. Afya yako ya akili iko sawa?Ushoga kitu kibaya sana yaani shaga mwenzake akisema lazima afuate hata kama ni uongo.
Wewe unaonaje ukaenda kujiunga na hao wanaosapoti LGBTQ ili uwe kama wao?Mkuu unaonaje ukaenda kujiunga na HAMAS usiwe brainwashed kama sie?
Muulize Mama yako ndiyo anajua afya ya akili yangu.Kila mjadala unao husu HAMAS wewe unawaza USHOGA tu. Afya yako ya akili iko sawa?
Jibu lake ni subjective! Ni suala la mtazamo!Israel ni taifa la kigaidi ?
Issue sio kuwapamba hamas bali ni kuviacha vyombo vya habari viwe huru kuripoti kinachotokea.Wapo sahihi, huwezi kuwapamba Hamas wanaoweka maisha ya wapalestina hatarini.
silaha za kurusha makombora wanaziweka kwenye makazi ya watu, misikiti, shule, n.k. wanafanya hivi maksudi ili watumie raia wema kama ngao, Makombora yakianza kurushwa kwenda kuwaua waisrael, Jeshi la Israel likilipua majengo yenye silaha wao wanarekodi wapalestina waliolipuliwa, wanaficha ukweli kwamba waliwkuwa wanarusha makombora kwenye majengo ya makazi ya watu.
Vuta picha huu mtambo unarusha roketi kama 20 kwa dakika na ni juu ya ghorofa la makazi ya watu, Makombora hayo yanaenda kuua waisrael, hapo Israel wakilipua jengo lenye mtambo huo ili kunusuru maisha ya waisrael na wapalestina wanaolipukiwa na makombora yasiyofika Israel, wa kulaumiwa ni nani ?
View attachment 2834609