Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Nilipo kuuliza kuhusu Hamas hukuleta ngonjera hizi ulienda straight to the point ila nimekuuliza kuhusu Israel unaniletea ngonjera na maneno mengi yasiyo na maana.Jibu lake ni subjective! Ni suala la mtazamo!
Kwa maoni yangu, hakuna muafaka wowote kuhusiana na maana halisi ya msamiati "taifa la kigaidi" (terrorist state) katika masuala ya mahusiano ya kimataifa. Wala hakuna kigezo chochote kile chini ya sheria ya kimataifa kinachotumika kutangaza kwamba taifa fulani ni "taifa la kigaidi".
Ni sahihi kudhuia habari za upotoshaji kwa kuwafunga mdomo watoa habari?Kuna upotoshaji mkubwa kwenye hii vita.
Kuna watu wamebaba mdoli umefunikwa sanda na kuutembeza barabaran ili kupata huruma.
Israel imezidiwa kwenye propaganda, majihadist and their idiots sympathisers wanatumia Tick tock kupata huruma huku IDF wanatumia Twitter kufafanua kila uwongo end of the day tick tockers wanaibuka washindi.
Uko kwenye tick tock kuna watu wengi na wengi na yale maziro brain yamejazana uko.. Yakiona kila video ya Gaza yanajua ni kweli kumbe fix ili kupata huruma.
Msamiati "taifa la kigaidi" sikuutunga mimi. Ninajibu kuendana na tafsiri au definitions za taasisi na vyombo vya kimataifa pamoja na kuwa hakuna muafaka rasmi wa kidunia kuhusiana na suala hilo.Nilipo kuuliza kuhusu Hamas hukuleta ngonjera hizi ulienda straight to the point ila nimekuuliza kuhusu Israel unaniletea ngonjera na maneno mengi yasiyo na maana.
Swali ni hili. Israel ni taifa la kigaidi ? Nasubiri jibu
Ila vipo vigezo vya kutambua vyama fulani ni vikundi vya kigaidi ?Msamiati "taifa la kigaidi" sikuutunga mimi. Ninajibu kuendana na tafsiri au definitions za taasisi na vyombo vya kimataifa pamoja na kuwa hakuna muafaka rasmi wa kidunia kuhusiana na suala hilo.
Nimekujibu, hakuna kigezo chochote kile chini ya sheria ya kimataifa kinachotumika kutangaza kwamba taifa fulani ni "taifa la kigaidi".
Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wa jumuiya, taasisi na mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Marekani ambayo ndiyo focal point ya huu uzi.Ila vipo vigezo vya kutambua vyama fulani ni vikundi vya kigaidi ?
Mimi sio Chadema. Mimi ni Kada wa CCM.Wewe unaonaje ukaenda kujiunga na hao wanaosapoti LGBTQ ili uwe kama wao?
PropagandaHili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!
Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka.
Wenye nguvu ndani ya serikali ya Marekani wameona waende step mbele kuvipiga mkwara vyombo vya habari vichuje habari za huko Gaza.
Wamesema kuwa vyombo vitakavyokiuka vitakumbana na mkono mzito wa sheria.
Huu ni ushahidi mwingine kuwa influence ya Zionist kwa serikali ya Marekani ni kubwa kwelikweli.
Na hii itufundishe kuwa duniani hakuna serikali inayopenda uhuru wa habari pale jambo lake linapoguswa. Uhuru wa habari lazima upiganiwe siku zote mahali popote, siyo Tanzania tu hata huko Marekani.
Unaweza kucheki hii taarifa hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=BCnTtNDqko0&ab_channel=TheYoungTurks
Hivi unasoma kweli unacho ulizwa ?Hamas ni kundi la kigaidi kwa mujibu wa jumuiya, taasisi na mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Marekani ambayo ndiyo focal point ya huu uzi.
Hamas ni non-state actor, hivyo kulingana na sheria ya kimataifa, Hamas iko chini ya sheria ya Non-International Armed Conflict. Maana yake ni kwamba, katika mgogoro uliopo, sheria za nchi (state actors) kama Israel ama taifa lolote lile zinaweza kutumika dhidi yao.
Umeuliza follow-up question, umepewa jibu na mifano rahisi kabisa ambayo inahusiana na mjadala.Hivi unasoma kweli unacho ulizwa ?
Sina maswali mengine zaidi ya hayo mawili niliyo kuuliza. Nasubiri majibu yake sio ngonjeraUmeuliza follow-up question, umepewa jibu na mifano rahisi kabisa ambayo inahusiana na mjadala.
Karibu kwa swali jingine!
Wanatumia gia ya “antisemitism”Hata kwenye social media wameanza kupiga watu mkwara
Marekani unaweza Kumsema vibaya Yesu kadri utakavyo, lakini ole wako useme ukweli juu ya Zionists!
Aisee huu mgogoro ndo umenionyesha kuwa Zionists wanacontrol AmericaWanatumia gia ya “antisemitism”
Lakini kiukweli hii generation ya sasa imebadilika sana na pia social media ambapo wengi ndipo wanapopata habari generation z na hata millennials, ni kama “yellow journalism” ya enzi hizo ambayo ilileta mabadiliko makubwa na kuzishinda propaganda.
Lakini hawataweza too late na Biden anafahamu kuwa ni lazima asikilize otherwise anaweza kupigwa chini.
Shida ya Jews ni kwasababu ndo wameshikilia uchumi wa marekani kwenye sectors muhimu sana kuanzia kwenye tech, Wall Street hadi Hollywood, ndo maana mtu akituhumiwa kwa “antisemitism”, anaweza kufilisika kabisa.
Juzi tu yule tajiri wa Tesla alituhumiwa akaogopa hadi kwenda Israel kuonana na Netanyahu na kutembelea eneo liloshambuliwa na Hamas ili kujikosha.
Hata Kanye West kutoka kwenye kuwa billionaire hadi kuwa na utajiri wa 200m ni hayo hayo.
Na ni wengi sana wamepitia matatizo hayo.
Lakini wamarekani wengi wameshafunguka macho siyo kama zamanı tena ambapo propaganda zilifanya kazı.
Pro-Israel lobbying groups ipo kazini.Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!
Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka.
Wenye nguvu ndani ya serikali ya Marekani wameona waende step mbele kuvipiga mkwara vyombo vya habari vichuje habari za huko Gaza.
Wamesema kuwa vyombo vitakavyokiuka vitakumbana na mkono mzito wa sheria.
Huu ni ushahidi mwingine kuwa influence ya Zionist kwa serikali ya Marekani ni kubwa kwelikweli.
Na hii itufundishe kuwa duniani hakuna serikali inayopenda uhuru wa habari pale jambo lake linapoguswa. Uhuru wa habari lazima upiganiwe siku zote mahali popote, siyo Tanzania tu hata huko Marekani.
Unaweza kucheki hii taarifa hapa:
View: https://www.youtube.com/watch?v=BCnTtNDqko0&ab_channel=TheYoungTurks
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!

Hata yule wa MSNBC Ali Velshi alipitia matatani kwasababu hizo hizo.Aisee huu mgogoro ndo umenionyesha kuwa Zionists wanacontrol America
1. Vijana wa vyo waliokuwa wanaprotest udhalimu wa Israel baadhi yao wamepewa onyo, na wengine wamekuwa flagged wasipate ajira ktk baadhi ya mashirika
2. Waandishi wa habari kama Mehdi Hassan waliokuwa wanawauliza maofisa wa Israel maswali magumu wamebadilishiwa vipindi
3. Leo AGs wametuma barua kwa vyombo vya habari visiwape fair coverage Wapalestina