heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Kabisa ile inaitwa Reincarnation kuna kiongozi wa serikalini karudi kupitia roho ya uyo jamaaYule anaweza kuwa dogo lakini pia anaweza kuwa mtu mzima. Data alionazo si za GenZ.
Kabisa ile inaitwa Reincarnation kuna kiongozi wa serikalini karudi kupitia roho ya uyo jamaaYule anaweza kuwa dogo lakini pia anaweza kuwa mtu mzima. Data alionazo si za GenZ.
Kwa ufupi wakikutwa na hatia siku akinyanyua mguu wake kwenda nje ya mipaka ya Tanzania atakamatwa. Pona pona yake ni kubakia nchini...Vipi utaratibu wa kumfikisha mahakamani Samia, Wambura, na wengine wakingoma kuitikia wito wa Mahakama, Je mahakama ya ICC ina njia zipi na zipi za kuweza kuwafikisha?
Mashahidi wa Kenya walikula vyuma mmoja mmoja hadi ikawa mbaya , kunakijana wangu mmoja hadi niliwahi kumpa hifadhi na kwao wakatangaza kuwa amefariki kwa ajali ndiyo salama yake .Walionga mashahidi yakaisha. Wao waliua less than 200. Hawa wameua 20,000. Je utaonga familia zote hizo.?
Kama akaamua kutotoka kabisa nchini kwa maisha yake yote inamaana hataweza kukamatwa kabisa?Kwa ufupi wakikutwa na hatia siku akinyanyua mguu wake kwenda nje ya mipaka ya Tanzania atakamatwa. Pona pona yake ni kubakia nchini...
Hivyo basi ule u Vasco da Gama hautokuwepo tena kwake....
Her acts weren’t only heinous but also grossly willful. It’s hard to imagine that she gets away with this!
Kama kweli hii ni sehemu ya document halisi basi inawezekana serikali au watuhumiwa waliotajwa tayari watakuwa served.Novemba 13 ilifunguliwa kesi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imepokelewa na mchakato unaendelea chini kwa chini.
Hivi karibuni itasikika sana. Swali langu ni - Je, nini itakuwa hatma ya kesi hii?
Media za Tanzania zitaripoti?
View attachment 3507016View attachment 3507017View attachment 3507018View attachment 3507019
Kudai Abdul ana influence juu ya tiss ni ushuhuda wa ukilaza wa wahusika,mnaichukuliaje TISS!?ICC haiendi hivyo. Ndo maana nilimwandikia hapa Bashungwa, alipata yellow flags za kutosha akapuuza.
Nyaraka ina mambo mengi.
Uzuri, waliofungua kesi hii wanaonekana kujipanga vema sana, sio wa kuchukuliwa poa
Isiwe kesi jiandae ukawe shahidi wake.Kudai Abdul ana influence juu ya tiss ni ushuhuda wa ukilaza wa wahusika,mnaichukuliaje TISS!?
Kelele za chura hizo,9D tokeni tenaIsiwe kesi jiandae ukawe shahidi wake.
Mashahidi walianza kupotezwa kimya kimya , wengine walihofia maisha yao hivyo waligoma kwenda kutoa ushahidi.Walionga mashahidi yakaisha. Wao waliua less than 200. Hawa wameua 20,000. Je utaonga familia zote hizo.?
Usijipe umuhimu sana kwani M029 ulituambia tutoke.Kelele za chura hizo,9D tokeni tena
UShahidi ulikosekana kwenye hiyo case.Huyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,
Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Kuwa makini, hauko salama kama unavyodhani regardless of your position and location.Kelele za chura hizo,9D tokeni tena
Naamini wanaweza kuhonga idadi hiyo na hata zaidi.Walionga mashahidi yakaisha. Wao waliua less than 200. Hawa wameua 20,000. Je utaonga familia zote hizo.?
TISS ni taasisi kama taasisi nyingine yoyote, haina kinga ya kutoingiliwa na CCM.Kudai Abdul ana influence juu ya tiss ni ushuhuda wa ukilaza wa wahusika,mnaichukuliaje TISS!?