Hujasikia aliingiza kontena la silaha na dokument zake zilisainiwq na mkuu wa TISS??Kudai Abdul ana influence juu ya tiss ni ushuhuda wa ukilaza wa wahusika,mnaichukuliaje TISS!?
Hujasikia aliingiza kontena la silaha na dokument zake zilisainiwq na mkuu wa TISS??Kudai Abdul ana influence juu ya tiss ni ushuhuda wa ukilaza wa wahusika,mnaichukuliaje TISS!?
Walidhani hawatajulikana.Nazani waliokuwa wanapiga watu walikuwa wendawazimu mtu timamu huwezi kuua watu kwa mtindo ule katika zama hizi za teknolojia
Hilo contena ndilo litakuwa evidence, wanaweza kulificha lkn consignment documents hazifutiki kirahisi.Hujasikia aliingiza kontena la silaha na dokument zake zilisainiwq na mkuu wa TISS??
Aagize silaha apeleke wapi?..mkiambiwa kitu na yule Malaya basi mnaamini moja kwa moja,yaani bongo zenu hazina kaziHujasikia aliingiza kontena la silaha na dokument zake zilisainiwq na mkuu wa TISS??
TISS siyo kikoba punguani weweTISS ni taasisi kama taasisi nyingine yoyote, haina kinga ya kutoingiliwa na CCM.
Acha mikwala ya kijinga,niliwatuma kufanya jaribio la mapinduzi?Kuwa makini, hauko salama kama unavyodhani regardless of your position and location.
Usipende kutoa dhiaka kwa walioumizwa bila makosa, huwezijuwa kwamba Melo nae mdogo wake alipigwa risasi bila kuhusika kwenye maandamano.
Document ni Sahihi kabisaa mkuuKama kweli hii ni sehemu ya document halisi basi inawezekana serikali au watuhumiwa waliotajwa watakuwa served.
Punguza mapovu tuliwaambiwa atashitakiwa mkaleta jeuri, mtakula jeuri yenu.TISS siyo kikoba punguani wewe
Mdogo wa CEO alipigwa Risasi?? Vipi alifariki?Kuwa makini, hauko salama kama unavyodhani regardless of your position and location.
Usipende kutoa dhiaka kwa walioumizwa bila makosa, huwezijuwa kwamba Melo nae mdogo wake alipigwa risasi bila kuhusika kwenye maandamano.
Ukiona mpaka ICC imeanza kufungua jalada ili kesi ianze ujue wamesharidhika na ushahidi waliopokea.Kama mlimsikia Mwigulu Jana,
Anajaribu kusema kwamba Polisi hawahusiki ...
Alisema
' mnajua Kuna watu walikuwa na silaha na hawajui hata kiswahili...na mnachochea Tena maandamano mengine'
Yaani anataka kumaanisha Kuna Wageni walikuwa wanarushia risasi wananchi na sio Polisi...
Hili swala Kuna mtu kanidokeza linaenda vibaya kuiteteresha Serikali hasa suala la Economic Sunction ....na mbaya zaidi nimejulishwa kwamba tayari pia limepelekwa UN ...na wao wameanza mchakato wa ndani kwa ndani...
Na tunavyopenda mikopo ya IMF mara WHO....mbona naona Katiba Mpya itakuja kwa uchungu sana...bila Serikali kutaka
Ogopa sana kumwaga damu za watu.Damu ya watu wasio na hatia inaenda kulipwa
Acha mikwala ya kijinga,niliwatuma kufanya jaribio la mapinduzi?