PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Walikuwa wanapindua serikali Gani na ilikuwa siku ya uchaguzi? Siulizi kwa ubaya nauliza Ili hoja ijibiwe bila ukakasi
Hapakua na serikali siku ya uchaguzi?..mnamshitaki nani ICC ikiwa Samia hakuwa rais siku ya uchaguzi?
 
Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation.

Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi.

Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
 
Huyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,

Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Issue ya Kenya ni tofaufi kabisa na Tanzania. Ya Kenya ilikuwa more of inter-tribal conflict ila Tanzania ni state against people.

Kenya waliimaliza ndani kwa maridhiano ndo mana wakina Ruto na Kenyata wakaachiwa kirahisi.
 
Kesi ya Kenya ni tofauti kidogo, Kenya ilikuwa civilians against civilians ilikuwa rahisi kwa Uhuru kujitetea hakuhusika moja kwa moja lkn kwa Tanzania Rais ni ngumu kujitetea kwa vile mauaji yamefanywa na vyombo vya dola, serikali (polisi, TISS, etc) against civilians ambapo yeye ni commander in chief alikuwa na uwezo wa kuvizuia.
Hakuwa CIC kawauza wakuu wa vyombo vya ulinzi
 
Kama mlimsikia Mwigulu Jana,
Anajaribu kusema kwamba Polisi hawahusiki ...
Alisema
' mnajua Kuna watu walikuwa na silaha na hawajui hata kiswahili...na mnachochea Tena maandamano mengine'

Yaani anataka kumaanisha Kuna Wageni walikuwa wanarushia risasi wananchi na sio Polisi...

Hili swala Kuna mtu kanidokeza linaenda vibaya kuiteteresha Serikali hasa suala la Economic Sunction ....na mbaya zaidi nimejulishwa kwamba tayari pia limepelekwa UN ...na wao wameanza mchakato wa ndani kwa ndani...

Na tunavyopenda mikopo ya IMF mara WHO....mbona naona Katiba Mpya itakuja kwa uchungu sana...bila Serikali kutaka
Kwa akili zake akaona hiyo kauli ni nzuri kuisema jukwaani?

Walahi viongozi wa hii nchi ni ama wana upungufu wa akili au wa exposure.

Hiyo kauli hailiokoi jeshi la polisi wala uhamiaji kwenye hii saga, Na pia aliyetoa amri ya lockdown na kuzima internet hawaokoki kwenye hili, yote tisa la kumi aliyetoa amri ya risasi kupigwa ( Hayo yote yamewapa nguvu hao wahuni/Wageni) Kama walikuwepo kweli.

Viongozi wakubali kuandika speech na wafuate script wanapokuwa majukwaani, Kauli zao zitawawajibisha kama sio leo ipo siku.

Kuna yule mwingine alisema kwenye issue ya risasi 21 alizopigwa TL “Sisi tukiwatuma askari wetu hawawezi kuchezea risasi zote zile… ni ama moja au mbili ….!!!!!
 
Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation. Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi. Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
Ndio gharama ya kutumika. Wewe unaona uko na ma mafia halafu unapokea order zao unategemea nini?

Na ujue, katumika hawajamchukua kwenye cabinet yao tena sio ajabu akaangushiwa jumba bovu.

Si kuna kusema hii kazi siiwezi unakaa pembeni maisha yanaendelea?

Hili ni somo kwetu sote. Usikubali kutumika kwa ajili ya mkate ilihali hata ndege wasio na makazi wala maghala wanaishi.
 
Back
Top Bottom