PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ICC watategemea witnesses from Tz, ambao kwa muktadha wa hoja yako tuseme watakua ni askari waliotumwa kutuliza fujo OCT 29. . Hao witnesses wanaweza kupotezwa au kuamriwa cha kusema na hakuna kitu ICC wanaweza fanya. Hicho ndicho ninachomaanisha. Ndicho kilichowashinda kule Kenya. Unaweza onyesha kabisaa watu wanaua. Ila uthibitishe sasa nani kamtuma nani kuua.
Ameshitakiwa Netanyau na Putin sembuse Samia, ana u special Gani huyo, kasome vzuri ICC inavoperate kesi zake sio kisutu Ile, halaf kesi ya Kenya na Tanzania ni mbingu na Ardhi ni tofauti kabisa
 
lini umewahi kusikia wameshindwa kusafiri au kufanya kazi zao? icc haina jeshi
Unamfananisha Samia na kina Putin? Kwa kina Putin au Netanyahu wao ni mataifa makubwa. Ikitolewa hati ya kumkamata Samia ataishi kwa shida sana na rais atakayeingia baada yake anaweza kuamua kumpiga kudu na kumpeleka kama yule muuaji wa Ufilipino alivyofanywa.
 
Mi nitafurahi wakifungwa, kwasasa sioni kama icc itatusaidia.

Tujitokeze D9 tuwashe kila kitu cha ccm na polisi wao.

Ndiyo kitu pekee kitatusaidia kuyaondoa ma ccm na polisi wao.
 
Hapakua na serikali siku ya uchaguzi?..mnamshitaki nani ICC ikiwa Samia hakuwa rais siku ya uchaguzi?
we kvma chafu ya kaHABA SAMIA MATITI MAKUBWA KAMA MAFENESI , UPO HUMU KUFANYA NINI , NA UNA TUMIA VPN KUINGIA HUMU , AU HUJUI NI KOSA LA JINAI KWA HUYO KAHABA MNUKA UCHI UNAYEMSIFIA HAPA KUTUMIA JAMII FORUM NA KUTUMIA VPN
 
Vipi utaratibu wa kumfikisha mahakamani Samia, Wambura, na wengine wakingoma kuitikia wito wa Mahakama, Je mahakama ya ICC ina njia zipi na zipi za kuweza kuwafikisha?
Itatoa hati ya kukamatwa nchi yoyote Walienda haÅŸa zilÉ™ wanachama wa ICC
 
ICC watategemea witnesses from Tz, ambao kwa muktadha wa hoja yako tuseme watakua ni askari waliotumwa kutuliza fujo OCT 29. . Hao witnesses wanaweza kupotezwa au kuamriwa cha kusema na hakuna kitu ICC wanaweza fanya. Hicho ndicho ninachomaanisha. Ndicho kilichowashinda kule Kenya. Unaweza onyesha kabisaa watu wanaua. Ila uthibitishe sasa nani kamtuma nani kuua.
Yaani ICC ni wajinga wategemee mashahidi wa upande mmoja. Hata raia, viongozi wa dini, waangalizi wa kimataifaviongozi wa kisiasa wote wenye concrete evidence wanatumika. Mnapoandika mambo muwe mnajiridhisha kwanza.
 

View: https://youtu.be/wJNb2CoZpmM?si=AzhtlStscjRNHYg7
Sasa wakati wa kukanana na kila mtu kusimama kivyake kwa kadiri ya unyama wa matendo yake umefika

Hakuna mwenye kinga kwa kosa la kuua binadamu wengine kwa makusudi

Orodha ya swali ya watu 84 watakaoburuzwa mahakamani kujibu mashitaka yao wakiongozwa na Bi Samia Suluhu Hassan a.k.a Chura Kiziwi imetolewa

Tazama na sikiliza video hiyo mpaka mwisho
 
wavimba_20251206_072626_0000.png
 
ICC haiwezi kutuletea ukombozi tuwaondoe ili washitakiwe wakiwa hawana madaraka.

Kwasasa wanalindwa na uvcc na polisi wao mtahangaika sana.
 
Back
Top Bottom