PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

PostGE2025 Wanasheria watinga ICC na kufungua kesi dhidi ya Rais Samia na wakuu wa Vyombo vya Usalama Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Dah, homeboy Bashungwa yupo kwenye very complicated situation.

Kwasababu tuhuma nyingi ni kwa Polisi iliyochini yake sioni atapona vipi.

Wakati mwingine bora kukaa mbali na siasa utafute ugali kwa njia za kawaida.
Hakika mkuu, kuna muda unaona fedha haina tena umuhimu wala msaada wowote ule.
 
Huyu mtu na watu wake wa karibu wanastahili kufikishwa ICC na wahukumiwe,

Swali: Kesi ya William Rutto na Uhuru Kenyatta iliishia wapi?
Mashahidi muhimu waliuliwa au kuhongwa; kesi ikakosa miguu!

As simple as that!

ICC ni matumaini ya hewa sana.

Wao (ICC) waendelee na juhudi hizo; lakini waTanzania ni lazima wamkabiri Samia Suluhu Hassan na Genge lake bila kujali uwepo wa hao ICC.

Charles Taylor na ma-'warlords' wa DRC nao walipitia huko, lakini hakuna la maana sana lililofanywa na hiyo mahakama.

Bangladesh wao wametumia mahakama yao na kumhukumu Sheikh Hasina kifo haraka iwezekanavyo; hawa ICC watachukua miaka hata zaidi ya kumi!
Ni ujinga mtupu.
 
Kwa ufupi wakikutwa na hatia siku akinyanyua mguu wake kwenda nje ya mipaka ya Tanzania atakamatwa. Pona pona yake ni kubakia nchini...

Hivyo basi ule u Vasco da Gama hautokuwepo tena kwake....
Anavyopenda raha sasa. Sijui itakuwaje! Na alipania kweli kuingia awamu hii ili ale raha bibi wa watu.. pembeni akiwa na Angela Kiziga!
 
Washaanza kusema wale KMKM sio watanzania na walikuwa wanaua polisi na raia
Huyu Mwigulu sijui kwa nini haelewi kuwa sisi sio wajinga. Hawa ndio wanaomuaminisha mama wa watu kuwa Watanzania bado ni wajinga, wamelala. No wonder kuna upumbavu mwingi unaendelea kwenye serikali yao, maana huyu mama kazungukwa na aina ya watu kama Mwigulu.

Tangu kaanza uPM, kila anachoongea ni kama anaongea na watu wajinga! Hizi ni dharau kubwa sana kwetu wananchi. Hivi bado hawaelewi aina ya Watanzania wanaodeal nao??? Eti waandamanaji walikuwa na silaha za kivita!! Hapo anamdanganya nani sasa?
 
Kwa akili zake akaona hiyo kauli ni nzuri kuisema jukwaani?

Walahi viongozi wa hii nchi ni ama wana upungufu wa akili au wa exposure.

Hiyo kauli hailiokoi jeshi la polisi wala uhamiaji kwenye hii saga, Na pia aliyetoa amri ya lockdown na kuzima internet hawaokoki kwenye hili, yote tisa la kumi aliyetoa amri ya risasi kupigwa ( Hayo yote yamewapa nguvu hao wahuni/Wageni) Kama walikuwepo kweli.

Viongozi wakubali kuandika speech na wafuate script wanapokuwa majukwaani, Kauli zao zitawawajibisha kama sio leo ipo siku.

Kuna yule mwingine alisema kwenye issue ya risasi 21 alizopigwa TL “Sisi tukiwatuma askari wetu hawawezi kuchezea risasi zote zile… ni ama moja au mbili ….!!!!!
Huyu Mwigulu nilikuwa sielewi watu wanapomdharau ila sasa naelewa. Anaropoka ropoka hovyo, akiona ndio anajenga kumbe anazidi kubomoa!! Mmmh huyu ile tuhuma ya kuiba jina ili aende sekondari ni kweli! Aache kuona Watanzania ni wajinga jamani, huwa tunaelewa sana vitu, sema ni wa kimya. Ile hali ya tarehe 29 October ilitakiwa iwape funzo, ola wanajitoa fahamu tu.
 
Watakana ushahidi na ICC watakua na kazi kubwa sana kuthibitisha kwamba hizo videos na picha ni kweli zilichukuliwa Tz.
Kazi kubwa vipi wakati picha za satellite zipo nyingi, na baadhi ya video na picha zinaonyesha sura za wauaji?

 
Huyu Mwigulu nilikuwa sielewi watu wanapomdharau ila sasa naelewa. Anaropoka ropoka hovyo, akiona ndio anajenga kumbe anazidi kubomoa!! Mmmh huyu ile tuhuma ya kuiba jina ili aende sekondari ni kweli! Aache kuona Watanzania ni wajinga jamani, huwa tunaelewa sana vitu, sema ni wa kimya. Ile hali ya tarehe 29 October ilitakiwa iwape funzo, ola wanajitoa fahamu tu.
Moja kati ya viongozi wabovu tumewahi kuwapata Tz ni huyu, fuatilia vitu gani vimembakiza kwenye nafasi za uwaziri hadi leo.

Ni mzee wa kazi chafu na propaganda za hovyo, yeye na Makonda wanafanana vingi sana isipokuwa kushinda kwa wachungaji .
 
Walahi kwahili Kikwete kampiga tobo Samia. Alafu anavyomfariji kinafiki huku akijua kizimkazi yupo maji ya shingo. Mama aumia iweje yeye tangu uhuru ndio amwage damu kiasi hiki.

Walahi anajutraa. Wahuni wanamsukumizia kwenye shimo la choo, Kikwete aseme yeye hana cheo chochote huko serikalini.

Hahusiki na mambo yayo. Nye nye.
 
Tutashinikisha waende hapa hakuna ukaidi hii ya kwao ni tofauti na sudani make kule ilikuwa makundi ya kikabila na vikosi vya serikali hapa kwetu wameua wenyewe,sometimes unawaza hivi hawa wakwetu waliwaza nini kuua watu vile kiholela tena hadharanj ina maana huko majeshini hamna msomi anayejua sheria za kimataifa zinakataza kupiga mtu risasi asiye nq sulaha??? Angalia kama ile picha ya mwanamke wa arusha aliyekuwa anakimbia watajiteteaje sasa
Yani huyu mama jamani kiburi kilimzidi hasa. Akawa anaona hadi sifa kujidai hasikii la mtu. Sijui tu ni damu za watu zile za kupitia kwa Mafwele au ni nini ndio zilikuwa zinampelekesha??! Alikuwa anazidi kuwa katili halafu kwa mda mfupi sana. Mwisho wa ubaya kwa kweli ni fedheha.

Mtu anasanuliwa kuhusu mafisadi wala rushwa, anaishia kuwakingia kifua waziwazi na anawaadabisha waliosanua. Kuteka watu, kuua, kuhondomola hela za umma na mikopo!!! Anayethubutu kuongelea ya kumjenga, anatekwa na kuuawa!! Mafwele na kikosi chake cha utekaji ndio ikawa haliambiliki. Katika utekaji wao wote, la Mzee Ali Kibao jamani lilikuwa ni kiboko. Yule Mzee anauwezo gani wa kuwa hatari kiasi cha kudeserve kifo cha vile? Waliohusika wote kwa kweli wasikae na amani maisha yao yote pamoja na uzao wao 🙏.

Huyu mama akaachia nchi watoto wake na yule mkwe! Bado washkaji zake nao pia ndio ‘wala’ nchi!!! Kujimilikisha maeneo sasa ndio usiseme. Wamasai wa watu kutaka kuswagwa, ili wapewe Waarabu. God knows ni namna gani walijipanga kuimaliza nchi yetu Kwenye awamu hii, hasa huko Arusha. KIA airport, Mererani, Ngorongoro, Serengeti, hotels pale A-town.. Kubwa kuliko ni kutoa amri ya ‘shoot to kill’ ile 29.10.2025 🤦‍♀️🙆‍♀️, hapa sijui alidanganywa na nani. Kwa haya yote haikwepeki kuwa na mwisho mbaya. Hapa hakuna wa kumhurumia.
 
Walahi kwahili Kikwete kampiga tobo Samia. Alafu anavyomfariji kinafiki huku akijua kizimkazi yupo maji ya shingo. Mama aumia iweje yeye tangu uhuru ndio amwage damu kiasi hiki.

Walahi anajutraa. Wahuni wanamsukumizia kwenye shimo la choo, Kikwete aseme yeye hana cheo chochote huko serikalini.

Hahusiki na mambo yayo. Nye nye.

Oct Masacre haikubaliki.
 
Her acts weren’t only heinous but also grossly willful. It’s hard to imagine that she gets away with this!
She isn't getting away with anything. The time of reckoning is nigh. She's and her acolytes are the final chapter of this tragic comedy called 60 years of Uhuru​
 
Walahi kwahili Kikwete kampiga tobo Samia. Alafu anavyomfariji kinafiki huku akijua kizimkazi yupo maji ya shingo. Mama aumia iweje yeye tangu uhuru ndio amwage damu kiasi hiki.

Walahi anajutraa. Wahuni wanamsukumizia kwenye shimo la choo, Kikwete aseme yeye hana cheo chochote huko serikalini.

Hahusiki na mambo yayo. Nye nye.
hamna kesi hapo wanajipotezea muda waanze na netanyau na sudan huko
 
Back
Top Bottom