Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Wapinzani wapi alioishi nao? Hakuna kipindi wapinzani wamepokea kichapo km enzi za JK tena PM akitoa maagizo bungeni wapigwe tu..Labda uwe na Chuki zako tu, Kikwete kwa migogoro alioitatua nje ya Nchi, jinsi alivyoishi na wapinzani, the way anaovyoongea huhitaji elimu kujua ni mtu mwenye Hekima.
Kuanzia Iringa alipokufa Mwangosi kwa bomu, to kichapo na Mauaji ya Arusha...To waandishi wa habari kumwagiwa Tindikali to watu kutekwa na kutupwa mabwepande..