We mpumbavu unaishia Afrika ndiyo Maana unaropoka ujinga, umelelewa kimasikini ukakua na mentality za roho mbaya ndiyo maana unaona jambo la ajabu mzazi kulipwa
Ndio tunalipa Kodi lakini je, nikiasi gani cha kodi zetu zinaelekezwa kwenye huduma zetu za afya? Je, pesa inayopelekwa na serikali inatosheleza? Kimsingi serikali yenu ndo yenye porojo