DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana .
Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ?
Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu .
Acheni siasa katika Elimu kwakuwa kila MTU anaijenga nchi hakuna MTU anayestahili scholarship na mwingine asipewe.