Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

Umemsahau Kafulila
 
Kupata ajali na kukatika mkono Mudhihir Mudhihir
 
Hivi kwa dunia ya leo kuna Mtanzania yeyote asiyejuwa kuwa wanasiasa, wabunge, vijana wa bongo fleva, wachungaji, mashehe, bongo movie kuwa si wachawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…