Wanasiasa kumi wenye akili nyingi kuwahi kutokea Tanzania

Hongera kwa huo mtazamo wako, mimi namtoa hapo Nyerere, Tundu, Lowassa na Kambona halafu wanaobaki nawatafutia sifa tofauti ya kuwapa.
 
Kwa akili yako unafikiri wenye akili ni wanasiasa. Kazi kweli kweli kuvusha hili Taifa kwenda kwenye viwanda🙁🙁
 
Kati ya hao ondoa Makonda, Lowasa na Masilingi.Have hawakuwabi kuwa na akili nyingi hata wakiwa shule vinginevyo hauwajui.
 
Akili nyingi kwenye nini? Kwenye kutumiaje?
Weka bayana?
Unaweza kuwa na akili nyingi kwenye wizi, uongo au kwenye kujenga jamii!
Fafanua
Akili ni akili tu! Ila uwezo wa kuzitumia mpaka kuwazidi wengine ndio maana zinaitwa nyingi kwa muktadha huo iangalie vizuri orodha.
 
Unadhani kumtawala mwenye PhD yake ya maganda ya korosho hadi akikuona anafyata mchezo?
 
Sijatumia kigezo cha elimu zaidi! Na badala yake nimetumia uwezo wa kuthubutu na kutenda.
Ni kweli kabisa ni uthubutu mkubwa kuvunja katiba na kudanganya umma kwa kughushi vyeti, video clips pia kuwadharau mawaziri na kudhalilisha mamlaka nyingine. Anastahili sifa kwa uthubutu wa kuvunja moyo waliompa sifa kwa project kv: Mti wangu na Dar es Salaam kwanza!!! Tanzania haihitaji watu wenye akili wala wabunifu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwamimi namba one ni said salim bakhresa, mbili nyerere, tatu kikwete a.k.a mbayuwayu nne mengi tano .....
 
Acha mambo ya ajabu, wema yuko wapi hapo?
 
genius 'Has proven to control those who have authorities than him'
Genius anayeshindwa masomo sijawahi kumuona duniani
Yaani wanasiasa tu ndiyo wenye akili zaidi, makundi mengine including wafanyabiashara, wajasiliamali, wanataaluma, watafiti nk wote wanazidiwa akili na wanasiasa? Sikubaliani!
Huyo jamaa akili zake chenga hajui kuwa mnasiasa ni mgawanyo wa majukumu-kuna watu wapo field zingine ni vichwa hatari
 
Mkuuu naeshimu sabubu tu ni maoni yako binafsi. Nchi hii kuna watu asee.wengi umewataja kwa ajili ya mbwembwe nyingi! Tembea uone fika SUA, Prof Kabudi? Sir Chande? Mzee wa Azam? ZZKabwe! Dr Slaa! Mama Tibaijuka? Prof Salungi mzee wa mifupa? Seif Sharifu Hamad? Felix Mkosamali? Sheikh Ponda? Mayunga Mti mkavu? Sewa Hajji?
 
Magufuli anaakili nyingi mno, awe ndani ya list.
Kapandisha ikulu na wachina mpaka wengine walishika bomba ndani ya mwendokasi kuwaepshia raia adha ya foreni junction ya ubungo pindi Anakuja kuzindua ubungo interchange.
Pili inshu kama EPA, ESCROW,RICHMOND & no amna tena ujinga kama ule, contract zote magogoni.
.wazungu wambeya wanao kuja kuchuma tu amna tena wala hataki kuongea nao kabsa.
Kamwambia dogo aachane na media apige kazi tu, wakumzingua amwambie.
migomo amna tena. <3
Magu ypo frx sana(akili yke ni bright sana)
 
Analist of the toilet
 
6 na 7 imesababisha uzi wako uonekani ni utani.
Hawa wawili ni liabilities.
 
Ambilikile Mwaisapile ana akili kuwazidi wengi kwenye hiyo list yako.

Halafu muondoe BASHITE hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…