Wanasiasa kumi wenye akili nyingi kuwahi kutokea Tanzania

Huyo aliyepata ma fa fa fa fa faaaa.....au umetumia vigezo gan? Embu itazame hyo list vizur zn peruzi na kudadis elimu za waliowekwa hapo
Kapata fa fa fa lakini unaona anavyosumbua vichwa million venye PhD na professors
 
Kwa ishu ya kuvamia clouds
Makonda anatumia nguvu sio akili
Kwa hyo kwenye hyo list hakupaswa kuwepo
Anatumia akili sana kumconvice mkulu maana watanzania mil 40 tumeshindwa ila yeye kaweza, anastahili kuwepo hapo
 
Hapo 6 ungeweka daudi bashite ili viendane na no 5
 
5 hajawai kiwa Mwanasiasa, toa yeye weka Bi Titi, endelea na List
 
Balali alikuwa lini mwanasiasa? Mashilingi ndo nani? Kama ni yule mbunge wa zamani wa Muleba kusini anaitwa Wilson Masilingi.
 
Eti Makonda yupo top ten na Jk na Kinana hawajaingia Top ten
 


Namba moja ni Kikwete.

Soma historia yake, hajapata uongozi kwa "bahati nzuri".
 
Wewe mwanamke, hivi kuna uhusiano gani wa karibu kati yako wewe na Kikwete?


AlhamduliLlah nilikuwepo toka Mkoloni, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli.

Sijaona wa kumlinganisha kwa ubora na Kikwete kati ya wote hao, hata nusu.
 
AlhamduliLlah nilikuwepo toka Mkoloni, Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli.

Sijaona wa kumlinganisha kwa ubora na Kikwete kati ya wote hao, hata nusu.
Leo nimejua kwa nini ubongo wako haufai tena kwa matumizi...tangu mkoloni, loh!
 
Sijaona wa kumlinganisha kwa ubora na Kikwete kati ya wote hao, hata nusu.

Ni vizuri kuwa na mtu mzima kama wewe hapa jukwaani, una mengi ya kutujuza hasa yaliyotokea huko nyuma ambapo wengine hatukuwepo.

Ila hii comment yako hapo kwenye blue pamenipa ukakasi, hebu nipe sababu ubora wake ni upi hasa kiasi cha kuwazidi wengine mbali hivyo.

Alafu pia nimekuuliza mna uhusiano gani wa karibu kati yako wewe na Kikwete?
 
Geuza hiyo list namba moja ibaki ifuate 10, 9 uondoe kabisa namba 6
 
9 na 6 mh napita
 


Rais hupimwa kwa mafanikio yake akiwepo madarakani.

Kila nyanja utayoigusa, Kikwete kafanya zaidi kuliko wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…