kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Na Simba na Yanga ni team za serikali hazigusiki.Umejibu vizuri
Usimba na uyanga ndiyo unaua soka
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Simba na Yanga ni team za serikali hazigusiki.Umejibu vizuri
Usimba na uyanga ndiyo unaua soka
Ova
ni mtu mjinga pekee anaweza kuamini kwamba Karia atafia TFF , kuniita mwekezaji kama mimi Kilaza ni sawa na kutukana wazazi wako , mtu aliyewekeza kwenye soka kwa zaidi ya miaka 10 , wewe shabiki kapuku unayesubiri kugombania jezi kwa Vunjabei unawezaje kumuita kilaza ?Huyu mbibi kwenye futboli ni kilaza wa mwisho kama alive kwenye siasa
HehehKwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa kweli."
Wengine wakadai " haya Karia kawafungie na Uganda kushiriki mashindano kwa kuwafunga Taifa Stars."
Hakika nukuu hizo hapo juu ni wazi zinasadifu chuki kubwa iliyopo kwa baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mpasuko huo unaojionyesha bayana hakika si wa kupuuzwa hata kidogo!
Ni wajibu wa mamlaka za nchi kumkemea Karia aache maneno yake ya nyondo na uonevu kama upo kwa mashabiki wa timu zingine hapa nchini.
Mpasuko kwenye jambo lihusulo maslahi mapana ya nchi hakika si wa kupuuzwa hata kidogo.
Mungu ibariki Tanzania.
Usimb na Uyanga unasingiziwa tu. Tatizo ni elimu na lile neno lingine uliloliacha!Umejibu vizuri
Usimba na uyanga ndiyo unaua soka
Ova
Yale ya kwenda na picha za kampeni uwanjani nayo yana nafasi ipi kwenye umoja wetu.Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa kweli."
Wengine wakadai " haya Karia kawafungie na Uganda kushiriki mashindano kwa kuwafunga Taifa Stars."
Hakika nukuu hizo hapo juu ni wazi zinasadifu chuki kubwa iliyopo kwa baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mpasuko huo unaojionyesha bayana hakika si wa kupuuzwa hata kidogo!
Ni wajibu wa mamlaka za nchi kumkemea Karia aache maneno yake ya nyondo na uonevu kama upo kwa mashabiki wa timu zingine hapa nchini.
Mpasuko kwenye jambo lihusulo maslahi mapana ya nchi hakika si wa kupuuzwa hata kidogo.
Mungu ibariki Tanzania.
Ili Ccm ife ni lazima ule mwenge uibiwe uteketezwe, Ccm inawatawala Watanzania kupitia ule moto wa kishirikina unaotembezwa Tanzania nzima kila mwaka.MUNGU KATU HAWEZI KUIBARIKI TANZANIA MPAKA CCM IFE
Naunga mkono hoja yakoKwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa kweli."
Wengine wakadai " haya Karia kawafungie na Uganda kushiriki mashindano kwa kuwafunga Taifa Stars."
Hakika nukuu hizo hapo juu ni wazi zinasadifu chuki kubwa iliyopo kwa baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mpasuko huo unaojionyesha bayana hakika si wa kupuuzwa hata kidogo!
Ni wajibu wa mamlaka za nchi kumkemea Karia aache maneno yake ya nyondo na uonevu kama upo kwa mashabiki wa timu zingine hapa nchini.
Mpasuko kwenye jambo lihusulo maslahi mapana ya nchi hakika si wa kupuuzwa hata kidogo.
Mungu ibariki Tanzania.
Kwa hyo karia asichukue maamzi kisa kuwaogopa watu fulani. Watu wajiendeshe wanavyotaka? Taratibu za mpira unazijua hadi uwaambie wanasiasa kuinglia kati? Sasa wewe acha kuwakanya watoto wako kwa hofu kuwa watampenda jirani yako sana.Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa kweli."
Wengine wakadai " haya Karia kawafungie na Uganda kushiriki mashindano kwa kuwafunga Taifa Stars."
Hakika nukuu hizo hapo juu ni wazi zinasadifu chuki kubwa iliyopo kwa baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mpasuko huo unaojionyesha bayana hakika si wa kupuuzwa hata kidogo!
Ni wajibu wa mamlaka za nchi kumkemea Karia aache maneno yake ya nyondo na uonevu kama upo kwa mashabiki wa timu zingine hapa nchini.
Mpasuko kwenye jambo lihusulo maslahi mapana ya nchi hakika si wa kupuuzwa hata kidogo.
Mungu ibariki Tanzania.
Shabiki lilote la MBUMBUMBU haliwezi kukubaliana na hii*HOJA*Kwa hiyo hayo maneno umeyaskia wewe tu mbona wengine hatujackia na tulikuwepo kwa mkapa
Acha ujinga! Nini kinawazuia kufanya kazi kwa weledi kama siyo ushabiki wa hovyo na rushwa!Hivi mnajua kuwa siku TFF ikiamua kufanya kazi kwa weledi wahuni na wababaishajj wengi kwenye soka watatafuta kazi za kufanya??
Hao yanga walioshangilia ni wapuuzi wachache tu na hawawezi kuifanya chochote TFF ya Karia.Kwa nilichokishuhudia uwanja wa Taifa ni aibu kwa mamlaka za mpira wa miguu hapa Tanzania.
Kundi kubwa la mashabiki waliosemekana ni wa Yanga walishangalia bila aibu goli/ushindi wa timu ya Taifa ya Uganda huku wakisema "acha mwana majivuno Karia apigwe ili aendelee kuwafungua wana michezo wa kweli."
Wengine wakadai " haya Karia kawafungie na Uganda kushiriki mashindano kwa kuwafunga Taifa Stars."
Hakika nukuu hizo hapo juu ni wazi zinasadifu chuki kubwa iliyopo kwa baadhi ya mashabiki wa mpira wa miguu hapa nchini.
Mpasuko huo unaojionyesha bayana hakika si wa kupuuzwa hata kidogo!
Ni wajibu wa mamlaka za nchi kumkemea Karia aache maneno yake ya nyondo na uonevu kama upo kwa mashabiki wa timu zingine hapa nchini.
Mpasuko kwenye jambo lihusulo maslahi mapana ya nchi hakika si wa kupuuzwa hata kidogo.
Mungu ibariki Tanzania.
Weledi bila elimu ni uchawi... na ndo runachokiona!Acha ujinga! Nini kinawazuia kufanya kazi kwa weledi kama siyo ushabiki wa hovyo na rushwa!
Wachezaji wenyewe ndo wale wanawaza kupata hela wanunue mademu, masimu, mapombe na magari??Hao yanga walioshangilia ni wapuuzi wachache tu na hawawezi kuifanya chochote TFF ya Karia.
Viwango vya wachezaji wetu vipo chini unategemea kumfunga Uganda kwa njia zipi!?.
Tuna wachezaji wengi wa viwango vya mechi za ligi kuu tu, hawana hadhi ya kushindana zinapokuja mechi za kimataifa.
Huu ujinga wa kuwazomea viongozi wa TFF haujaanza jana wala juzi ni upuuzi wa miaka na miaka.