Wanasiasa mkemeeni Karia wa TFF, amesababisha mpasuko mkubwa mno kwenye timu yetu ya taifa

Huyu mbibi kwenye futboli ni kilaza wa mwisho kama alive kwenye siasa
ni mtu mjinga pekee anaweza kuamini kwamba Karia atafia TFF , kuniita mwekezaji kama mimi Kilaza ni sawa na kutukana wazazi wako , mtu aliyewekeza kwenye soka kwa zaidi ya miaka 10 , wewe shabiki kapuku unayesubiri kugombania jezi kwa Vunjabei unawezaje kumuita kilaza ?
 
Nikama nimeisikia kelele za kidedea uwanjani!
====
Mimi ni mwananchi, siungi Mkono kitendo hicho walichofanya wanaodhaniwa ni mashabiki wa Yanga! Mpira bila nidhamu, soka letu litashuka sana!
 
Sasa mnayemkomoa Nani?
Karia an Nini cha kupoteza?
Nashukuru sio shabiki was utopolo.manaa ningekuwa sina akili
 
Heheh
Mfungwa anatapatapa
 
Umejibu vizuri

Usimba na uyanga ndiyo unaua soka

Ova
Usimb na Uyanga unasingiziwa tu. Tatizo ni elimu na lile neno lingine uliloliacha!
Kama kwenye karne hii
1. Bado mtu anajitafutia umaarufu binafsi kupitia hizo klabu
2. Mtu anatukanana na viongozi wazi wazi mchana kweupe
3. Mtu ni msemaji lakini anajisemea ya kwake tu kila siku au kiongozi wa timu anaongoza timu yake kutenda viashiria vya rushwa, ubaguzi, kichawi na ushirikina
4. Timu A inadhaminiwa na mdhanini ambaye mfanyakazi wake ni kiongozi wa timu B
Hivi apo tatizo bado ni Usimba na Uyanga??

NO! HAPANA! TUPELEKE VIJANA WAKASOME USIMAMIZI WA MICHEZO!

Hizo Simba na Yanga zipogo tu! Tatizo ni elimu!
 
Dawa ya karia inapikwa pale msoga pro association,we mwache aendelee kujimwambafy
 
Yale ya kwenda na picha za kampeni uwanjani nayo yana nafasi ipi kwenye umoja wetu.
 
MUNGU KATU HAWEZI KUIBARIKI TANZANIA MPAKA CCM IFE
Ili Ccm ife ni lazima ule mwenge uibiwe uteketezwe, Ccm inawatawala Watanzania kupitia ule moto wa kishirikina unaotembezwa Tanzania nzima kila mwaka.

Mtu pekee aliyekuwa na uwezo wa kuukomesha ule ushirikina alikuwa ni Magufuli lakini alipoambiwa siri za huo Mwenge alikuwa mpole.
 
Naunga mkono hoja yako
 
Kwa hyo karia asichukue maamzi kisa kuwaogopa watu fulani. Watu wajiendeshe wanavyotaka? Taratibu za mpira unazijua hadi uwaambie wanasiasa kuinglia kati? Sasa wewe acha kuwakanya watoto wako kwa hofu kuwa watampenda jirani yako sana.
 
National team sio team ya Kalia kama kunamtu ka support Uganda jana basi huyo sio mtanzania wakweli lakini ndio ujinga wa bahadhi ya watu ndio maana Manara anasema hamnazo wenye akili wawili tu pale
 
Nasikia eti sisi wanasiasa haturuhusiwi kuingilia maswala ya mpira
 
Hivi mnajua kuwa siku TFF ikiamua kufanya kazi kwa weledi wahuni na wababaishajj wengi kwenye soka watatafuta kazi za kufanya??
Acha ujinga! Nini kinawazuia kufanya kazi kwa weledi kama siyo ushabiki wa hovyo na rushwa!
 
Hao yanga walioshangilia ni wapuuzi wachache tu na hawawezi kuifanya chochote TFF ya Karia.

Viwango vya wachezaji wetu vipo chini unategemea kumfunga Uganda kwa njia zipi!?.

Tuna wachezaji wengi wa viwango vya mechi za ligi kuu tu, hawana hadhi ya kushindana zinapokuja mechi za kimataifa.

Huu ujinga wa kuwazomea viongozi wa TFF haujaanza jana wala juzi ni upuuzi wa miaka na miaka.
 
Acha ujinga! Nini kinawazuia kufanya kazi kwa weledi kama siyo ushabiki wa hovyo na rushwa!
Weledi bila elimu ni uchawi... na ndo runachokiona!
Somethings don't just happen by chance!
Uliza elimu zao... Anza na Manara
 
Wachezaji wenyewe ndo wale wanawaza kupata hela wanunue mademu, masimu, mapombe na magari??

Ndo maana nasema, bila elimu tutashikana uchawi kila siku! Huko kwenye mpira bado kuna wahuni wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…