DOKEZO Wanasiasa na mipango ovu ya kuiua eGA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Harafu kuna watu wanasema walubaini wa huu uozo ni katiba mpya, watakaokuwa kwenye hilo bunge la katiba ni hao hao maharamia wanasiasa.

Hii nchi wanayoivuruga ni wanasiasa, ikifika Muda wa chaguzi wanakuja kutia huruma kwa wananchi , na wananchi tulivyo kuwa Mazezeta kazi yetu kupepea bendera hewani, kama kwamba kinachoendelea hatukioni. Sisi ndiyo wadanganyike, na akili zetu tushatweka kwenye tanga la nyika ☹️☹️☹️
 
************************* UPDATES**********************************************************************
Taarifa Mpya tulizozipata zinaeleza juu ya uhusika ya Viongozi waandamizi toka taasisi mbalimbali za serikali na wanasiasa kadhaa kusuka mpango huu wa kuifuta E-GA . Script iko kama hapa chini.
1.E-GA iwe moved from ofisi ya rais utumishi kwenda Wizara ya TEHAMA chini ya Waziri Nape Nnauye.
2. Ikishafika wizara ya TEHAMA , haraka haraka mswaada wa kuninafsisha mashirika na taasisi kadhaa za umma utapitishwa , na moja ya taasisi za kubinafsishwa itakua ni E-GA.
3. Wakisha kubaliana bungeni , E-GA itachukuliwa rasmi na kikundi flani ambacho kitakua kimetegesha Kampuni flani kuimeza E-GA .
4. Watumishi waliopo E-GA baadhi watasambazwa kwenye taasisi mbali mbali wengine watabaki kwenye hio kampuni binafsi , kama ilivyo kwa AIRTEL ambapo serikali ina share kadhaa.


Rai yangu: Waziri Nape Nnauye huu ni mtego unategewa , ng'amuka mapema , unaangushiwa jumba bovu .
NOTE: Majina ya wahusika yapo tayari , hayatakua shared hapa kulinda policy za platform hii.
 
Mhh, hii ni kweli jamani? Maana kwa kazi za ega ukizisoma kwenye act yake ya 2019 mbona ni Kama itakua impossible hayo majukumu kuachiwa kwa private companies? Au majukumu yatagawanywa?
 
Mhh, hii ni kweli jamani? Maana kwa kazi za ega ukizisoma kwenye act yake ya 2019 mbona ni Kama itakua impossible hayo majukumu kuachiwa kwa private companies? Au majukumu yatagawanywa?
hujawaelewa wanasiasa na maharamia wa serikali
 
Na
Na huo mfumo ipo siku mtu atapita na hilo koba.. watu muanze kulia
 
Wabunge hawayaoni haya?
 
matatizo yanaanza hapo ".....sitawataja...". alafu unategemea mambo yabadilike
unajua wazi policy za JamiiForums , ukitaja majina ya watu you have to submit evidence ambazo hazina shaka .
Sasa the documents am having ni classfied ,siwezi kushare hapa ts treason hata kwangu kufanya hivo
 
Mhh, hii ni kweli jamani? Maana kwa kazi za ega ukizisoma kwenye act yake ya 2019 mbona ni Kama itakua impossible hayo majukumu kuachiwa kwa private companies? Au majukumu yatagawanywa?
U will be suprised , genge limeshajipanga , mama samia wanamzunguka hatari sana , akija kushtuka they are on her neck
 
Ile hela yake tushapigwa tayari. Unaambiwa mfumo tayari umeshaanza kazi. Yule kichwa Nazi ana utapeli wa kitoto sana yule

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
free fall and banana republic pekee ndio inaweza kuruhusu huu ushenzi .
Tunapaswa kuamka , in three months to come watu watarudi kwenye huu uzi na itakua too late
 
This is madness , hivi watoto wa maskini waliopo E-GA wanaishije na hizi taarifa? these are very disturbing news.

Please nyie wahusika kama mnasoma acheni hayo mambo
Maxence Melo wasaidie vijana wanasumbuliwa , una nguvu kupitia jukwaa lako kupaza sauti kama kuna ukweli wa taarifa hizi wahusika wawe accountable
 
Januari makamba na mgosi mwenzake maharage kuingia tu wakaingiza mfumo wa wahindi. Kenya nahisi kuna kampuni zinazokula njama na wanasiasa wa tanzania.
Magufuli aliwafunulia watanzaniabkuhusu wizi wa hela na mali za umma kwamba ni wa kutisha. Tuombe sana mungu 2025 tupate mwingine mwenye uchungu na maendeleo ya mtanzania.
 
Rais Samia still anaweza , tuzidi tu kumsaidia kwa kumulika mbwa mwitu wanaotaka kumkaba shingo bila yeye kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…