Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Kama unaona jambo hilo lipo sawa Basi na umlete mwanao tumpe mafunzo kwa vitendo.Mtoa mada umebeba kichwa au boga tunahurumia miguu yako kuibebesha boga badala ya kichwa
Leo angalau kuna kitu umeandikaMimi naona elimu ya jinsia inasaidia sana Mkuu
Usipomfundisha mtoto atajifunza kwa kuona, utandawazi umekuja na mengi
Ungejua wewe ndio kilazaHivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!?
Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!?
Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa watoto wetu.
Viongozi wa Dini lipingeni hilo kwa nguvu zote jambo hilo kama walivyofanya wenzenu wa Kenya kwa maana mafunzo hayo yana hasara nyingi kwa mustakabali wa wanafunzi kuliko faida.
Ni ujinga/ujuha kimfundisha mtoto wa shule namna ya kujikinga na mimba afanyapo mapenzi na mpenzi wake-pumbavu kabisa!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Inawezekana mimi kweli kuwa mpumbavu wa mwisho lakini pia mpumbavu namba moja ni yule anayekubali mwanae apewe mafunzo ya uzazi kwa vitendo na nahisi upo katika kundi hilo!We ni mpumbavu wa mwisho kabisa umesababisha hata point nilizotaka kukupa hapa zimeyeyuka kwa kukuwaza kuwa una akili ya aina gani.
... kwamba wanawekewa magodoro darasani halafu wanasimamiwa wafanye kwa vitendo au? Fafanua Mkuu.Inawezekana mimi kweli kuwa mpumbavu wa mwisho lakini pia mpumbavu namba moja ni yule anayekubali mwanae apewe mafunzo ya uzazi kwa vitendo na nahisi upo katika kundi hilo!
ππππππππUsitumie kichwa kama mfuko wa kubebea meno
Leo angalau kuna kitu umeandika
Kama unaona jambo hilo lipo sawa Basi na umlete mwanao tumpe mafunzo kwa vitendo.
Shule gani hiyo mkuu wana practical ya elimu ya uzazi?Inawezekana mimi kweli kuwa mpumbavu wa mwisho lakini pia mpumbavu namba moja ni yule anayekubali mwanae apewe mafunzo ya uzazi kwa vitendo na nahisi upo katika kundi hilo!