Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,759
- 4,872
Rudisha unyago kama kabila lako lina mila hiyo lakini usilazimishe yanayoandikwa ulaya na amerika yaletwe TZ.Wabongo bwana , kazi yenu nikuukimbia ukweli hila watoto wenu wakipata ukimwi na Early pregnant mnaishia kublame.
MPE mtoto Elimu yakijisinsia ....Unaweza kusoma kitabu cha kilio chetu/ Ukiukataa ukweli nisawa nakukimbia kivuri chako.
Unaeleza nisome kitabu cha mtu anayesimulia matatizo ya familia yake? That is stupid! Kwani matatizo ya familia ni hayo tu?