Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Phuck you maniacYou must be foolish!
Phuck you maniacYou must be foolish!
Shule gani hiyo mkuu wana practical ya elimu ya uzazi?Inawezekana mimi kweli kuwa mpumbavu wa mwisho lakini pia mpumbavu namba moja ni yule anayekubali mwanae apewe mafunzo ya uzazi kwa vitendo na nahisi upo katika kundi hilo!
Ni kweli mkuu, samahani kwa hilo. Ujue kuna muda inashangaza mpaka unashindwa hata kuelewa. Anyway, next time nitajitahidi kuelimisha zaidi kuliko kudisschaliifrancisco dudus owomkyalo na watoa mada wengine, mumemkosea mtoa mada. Mlihitaji kumuelimisha na kumpatia ufafanuzi na sio dhihaka na lugha nzito za namna hiyo.
Nimeumia Sana.
Utapata tabu sana kuwaelimisha hawa watu uliojitolea kuwapa elimuHata wewe ufahamu wako ni tatizo tu. Jipe muda wa kufikiri kabla ya kushukuru unachopewa.
Mkuu atupo miaka ya 1940 tupo 2020,Wenda hoja yako kwa mtazamo mwingine ina mashiko lakini sio kwa zama hizi yani 2020.Hivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!?
Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!?
Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa watoto wetu.
Viongozi wa Dini lipingeni hilo kwa nguvu zote jambo hilo kama walivyofanya wenzenu wa Kenya kwa maana mafunzo hayo yana hasara nyingi kwa mustakabali wa wanafunzi kuliko faida.
Ni ujinga/ujuha kimfundisha mtoto wa shule namna ya kujikinga na mimba afanyapo mapenzi na mpenzi wake-pumbavu kabisa!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Hao walikuwa wakiolewa na miaka 13, kuzaa bila kutarajia, umasikini na vifo vilikuwa vingi,Walio tuzaa walijuaje au tuna kasolo yeyote kwamba kuna mahala walikosea?
Wamuelimishe wakati wao wenyewe hata hawajui wanachojadili. Hawa ni wa kuonea huruma tuchaliifrancisco dudus owomkyalo na watoa mada wengine, mumemkosea mtoa mada. Mlihitaji kumuelimisha na kumpatia ufafanuzi na sio dhihaka na lugha nzito za namna hiyo.
Nimeumia Sana.
Hivi watoto wa zamani na wa Sasa hivi ni wepi walikuwa wakianza ngono na wazee mapema?Mkuu atupo miaka ya 1940 tupo 2020,Wenda hoja yako kwa mtazamo mwingine ina mashiko lakini sio kwa zama hizi yani 2020.
Kwa sasa tofauti na zamani yan mtoto Wa darasa la 5,6,7, kufanya matusi na jizee au mtu mzima kuanzia 18 na kuendelea si jambo la ajabu ,na yapo na member humu kwa nisemalo Wenda wengi wanayaona mtaani.
Kwa mantiki iyo andiko lako limejikita kwenye hasira tu.
Sasa tuone faida ya elimu hii kwa watoto wetu.
1 .itapunguza mimba za utotoni na kupunguza magonjwa ya zinaa ,hasa pale mtoto akifundishwa kujilinda kwa njia tatu namanisha a.) Kuacha kabisa mpaka mda Wa kuoa au kuolewa ukifika
b.)kuwa na mpenzi mmoja na hii wenzetu mabeberu hafanya kwa watoto wao ila sie tunaweza kuiondoa maana haiko sawa na maadili ya kiafrika
C.) Kutumia kinga inapobidi na hii sio nzuri sana lakin dunia inaenda kasi watoto kila siku wako kwa mitandao na tena wakati mwingine sie wazazi ndo huwapatia smartphone zetu wafanye Google na hatufuatilii wana Google NINI.
MWISHO
HUELIMISHAJI KWENYE SHULE ZETU NI MUHIMU SANA KWA WATOTO WETU ,HASA UKIANGALIA NA NYAKATI ZA UTENDAWAZI ULIOPO MKUU
Na kwa mchango wangu huu fanya utafiti hapo ulipo na siku moja tuletehe mrejesho kupitia uzi wako huu
Hawa niliowafanyia tag hasa Chaliifrancisco na dudus. Wanaoufahamu na uelewa ndio maana nimeshtushwa kuona wamekuwa wa namna hii.Wamuelimishe wakati wao wenyewe hata hawajui wanachojadili. Hawa ni wa kuonea huruma tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanafunzi aliyebalehe kumfundisha kuhusu elimu ya uzazi (reproduction) ni kumuweka salama zaidiMtoto mdogo hatakiwi kushiriki ngono hilo ndo la kumfundisha sio kumuelekeza namna ya kufanya asizurike
Labda wazee wako wangu alikua na umri stahiki na hata dada zake hakuna alieolewa na umri huoHao walikuwa wakiolewa na miaka 13, kuzaa bila kutarajia, umasikini na vifo vilikuwa vingi,
So unataka turudi Huko Enzo za Giza?
Human Reproduction imo kwenye somo la baioloji na sehumu husika unazichora kwenye daftari lako ukawaoneshe wazazi wako.Hivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!?
Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!?
Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa watoto wetu.
Viongozi wa Dini lipingeni hilo kwa nguvu zote jambo hilo kama walivyofanya wenzenu wa Kenya kwa maana mafunzo hayo yana hasara nyingi kwa mustakabali wa wanafunzi kuliko faida.
Ni ujinga/ujuha kimfundisha mtoto wa shule namna ya kujikinga na mimba afanyapo mapenzi na mpenzi wake-pumbavu kabisa!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Halafu kuna wanao lalamika bikra hakuna siku hiziMwanafunzi aliyebalehe kumfundisha kuhusu elimu ya uzazi (reproduction) ni kumuweka salama zaidi
Kwa Sababu either umfundishe ama usipomfundisha Kama akiamua kufanya atafanya tu, kwani itakuwa unamlinda masaa yote?
Na kingine ni kuwa shuleni wanafundishwa general concept nzima ya uzazi na kuzaliana, sio kuhusu ngono au njia za uzazi wa mpango pekee
So mwanafunzi wa form 3 asifundishwe reproduction?
Hivi hili suala la mafundisho ya masuala ya uzazi kwa wanafunzi limekaaje na kwa nini NGOs baadhi zinaruhusiwa kutoa mafunzo hayo mashuleni!?
Hivi binti/kijana aliyepo shuleni anapofunzwa mambo kama hayo muktadha wake ni upi hasa!?
Tafadhari wenye Mamlaka ondoeni mafunzo hayo mashuleni kwa watoto wetu.
Viongozi wa Dini lipingeni hilo kwa nguvu zote jambo hilo kama walivyofanya wenzenu wa Kenya kwa maana mafunzo hayo yana hasara nyingi kwa mustakabali wa wanafunzi kuliko faida.
Ni ujinga/ujuha kimfundisha mtoto wa shule namna ya kujikinga na mimba afanyapo mapenzi na mpenzi wake-pumbavu kabisa!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Labda wazee wako wangu alikua na umri stahiki na hata dada zake hakuna alieolewa na umri huo
Matukio ya kishenzi yapo tu wala hayata isha
Kuwafundisha watoto elimu ya ngono ni kuwaondolea woga wa kushiriki hilo tendotunapozungumzia masuala ya kijamii hatuzungumzii cases specific, tunazungumzia mambo generally, so mambo ya kuniambia mzazi wako aliolewa na umri gani ni kushindwa kuelewa tu scope ya mada
mtu Kama akipevuka lazima anakuwa na hamasa ya kujaribu kufanya ngono, hii ni biology simpleKuwafundisha watoto elimu ya ngono ni kuwaondolea woga wa kushiriki hilo tendo
Kuna hatari ya kuja kutambulishwa marafiki wa kiume na wakike nyumbani.