Patriot JF-Expert Member Joined Feb 11, 2008 Posts 5,759 Reaction score 4,872 Aug 20, 2020 #61 owomkyalo said: Wabongo bwana , kazi yenu nikuukimbia ukweli hila watoto wenu wakipata ukimwi na Early pregnant mnaishia kublame. MPE mtoto Elimu yakijisinsia ....Unaweza kusoma kitabu cha kilio chetu/ Ukiukataa ukweli nisawa nakukimbia kivuri chako. Click to expand... Rudisha unyago kama kabila lako lina mila hiyo lakini usilazimishe yanayoandikwa ulaya na amerika yaletwe TZ. Unaeleza nisome kitabu cha mtu anayesimulia matatizo ya familia yake? That is stupid! Kwani matatizo ya familia ni hayo tu?
owomkyalo said: Wabongo bwana , kazi yenu nikuukimbia ukweli hila watoto wenu wakipata ukimwi na Early pregnant mnaishia kublame. MPE mtoto Elimu yakijisinsia ....Unaweza kusoma kitabu cha kilio chetu/ Ukiukataa ukweli nisawa nakukimbia kivuri chako. Click to expand... Rudisha unyago kama kabila lako lina mila hiyo lakini usilazimishe yanayoandikwa ulaya na amerika yaletwe TZ. Unaeleza nisome kitabu cha mtu anayesimulia matatizo ya familia yake? That is stupid! Kwani matatizo ya familia ni hayo tu?