Wanasiasa wa Upinzani kuweni makini mnapofanya mahojiano na Media za Nje

Uzalendo ni kummiminia risasi kama punda???????
Kweli wewe ni busu la kenge. Ambaye hafi hadi damu zimtoke maskioni. Mleteni dreva wake akaripoti kituo cha polisi atausema ukweli wa kwanini yeye alitoka mzima kabsaaa. Na ilihali ukijua risasi haina macho?? pia kwanini ajeruhiwe mguu wa kulia pasipo mguu wa kushoto kutopata hitirafu. Kuna maswali mengi ya kujiuliza lakini majibu yatapatikana pindi mtakapo mleta na kumkabidhi dereva wake kituo cha polisi. Ni hayo tuu
 
Niliweka thread maalum kuhusu hili jambo ikaunganishwa kwenye thread nyingine, nilisema hayo hayo uliyosema. Soma hapo chini
 
Uzalendo ni kummiminia risasi kama punda???????
Wewe nae acha kutetea UJINGA, Suala la COVID19 ni Kama MIMBA tu ufiche usifiche litaonekana tu, Sasa kwà TZ hii matukio Kama hayo tuneyaona wapi!?? Au umesikia wapi kaka!!


TL tatizo ana mdomo mkubwa Sana anaongeaongea tu Kama Propeller Kuna vitu hapaswi kuzungumza kabisa Ila yeye anaongeaongea tu bila Tashwishiwi,.

Hawa hawa Wapinzani walituaminisha kuwa COVID19 Ipo sana bunge lifungwe wabunge waende Quarantine, GVT ikagoma wakaenda wenyewe afu Baada ya siku 14 wakarejea tena Bungeni na wakakaa na CCM hao hao na bila Hata kuchukua tahadhari Wala kugoma kukaa nao Bungeni!!

Afu Wewe Tena unatetea UJINGA Sijui nawewe nae MJINGA Mkuu, Upinzani wa BONGO haupaswi kabisa kupewa madaraka labda DUNIA iumbwe kwà Mara ya pili!!
 
Kuna kitu chaitwa maslahi ya taifa yaani National Interest.

Hao mabeberu wake huko waliko hata wakigombana vipi, wakija kwenye media wanakuwa wanaunga mkono masuala ya kitaifa na wanaweka pembeni tofauti zao za kisiasa.

Juzi tu huko UK serikali waliamua kufunga moja ya mikoa ya kaskazini maeneo ya Manchester kwa kuogopa kuenea kwa ugonjwa na ilikuwa ni siku kuu ya iddi.

Lakini vyama vya upinzani vikiongozwa na Labour walikuja kwenye media na wakasema wanaunga mkono hatua ya serikali.

Hivyo hivyo walifanya walipoweka karantini ya wiki 2 wapinzani wameunga mkono.

NI kwa maslahi ya taifa au National Interets.

Ukiwa raia wa nchi unatakiwa kulinda maslahi ya taifa si kuyatafutia majambazi huko nje ya kuja kuharibu.
 
 
Wakenya walimtibu kwa miezi 4 pale Nairobi na walimchangia damu kwa sana tu,kwa hio anawaona ni ndg.
 

Hilo hilo la COVUD -19...

Wewe unaweza kuthibitishaje kuwa umesha idhibiti? Kwa kipimo gani? Kwa maneno ya Magufuli ya Jukwaani kwa sababu yeye ni "Rais?"

Au kwa sababu huoni maiti zimezagaa barabarani?

Kukosekana kwa UKWELI wa TAKWIMU na TRANSPARENCY ndiyo chanzo cha haya yote. Nani atakuamini kama huweki mambo wazi, unaamua kivyako gizani???

Na hivi huko Kenya ambako mpaka sasa bado wana restrictions za mikusanyiko na mazingira yoyote ya kuenea kwa maambukizi, umewahi kuziona maiti zinazagaa barabarani??

Hawa (Kenya) unaweza kuwaamini Mara moja kwa sababu wanapima watu wao, wanaweka takwimu wazi, mikakati iko wazi kwa kila mtu kuona, wanachukua hatua za udhibiti wa maambukizi na wanaomba Mungu vilevile....

Lakini sisi Tanzania eti tuamini tu chochote kitokacho kwa mtu mmoja aitwaye "Rais" kisha wote tuitike "ndiyooo" baada ya hapo kila mtu anyamaze kimyaa.... HAIWEZEKANI...!!
 
Hivyo ndio viashiria kuwa bado TL hajamature kiuongozi na hana uwezo wa kuongoza Nchi. Hana mkakati ya kulinda na kuboresha uchumi. Kwa kwe Kila kitu ni Sheria.
 
Huyo dogo ana kiburi bila maarifa,anapotakiwa kutumia busara anatumia ushabiki.Mimi sikujua analo tatizo hilo hadi pale kwenye BBC hard talk alivyokumbushwa hana facts bali gossip kama mwanasheria.
Apange safu ya washauri mapema vinginevyo ataambulia moshi wa TANICA.
 
Tundu huwa ana hoja lakini wakati mwingine huwa mropokaji sana! Ajikite kwenye hoja za nini atawafanyia watanzania.
 
Mimi nilishauri auvae u candidate sasa, maana anaongea sana hata visivyohitajika.

Tunafahamu ni mwanasheria, au yeye anataka kutuambia nini?! Tangu arudi kawa kama kanywa pombe, hatulii akaongea vizuri.

Namuunga mkono kiitikadi, lakini sio kwa huku kuongea ongea tuu, anakokufanya, anakosa hata muda wa kuwasoma opponents wake.

Atulie sasa.
 
Mitano ya nduli makufuli inatosha, utawala wake wa mkono wa chuma sasa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…