The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Sasa nakuhakikishia mama Samia suluhu atakuwa Rais kabla ya uchaguzi mkuu oktoba kwa mujibu WA Katiba. Rejea alsadat misriWatu wanapigwa mabomu itakuja kuwa risasi?,rejea suleiman kamanda wa Iran alifanywaje na Marekani?
Lisu apunguze kuongeaongea.. Atamiss points muhimu sana.
Ajicheki.
Kama ameongea hivyo kwenye issue ya COVID19 huyo ni tatizo. Haiwezekani madaraka yakufanye ufanye chochote ili ufanikiwe bila kujali uzalendo.
Kama ameongea hivyo kwenye issue ya COVID19 huyo ni tatizo. Haiwezekani madaraka yakufanye ufanye chochote ili ufanikiwe bila kujali uzalendo.
Wakisema Lissu bado hajapona ama amepewa mulungula na watu fulani...baadhi ya watu wanahamaki. Hata hivyo, dawa yake na wale wanaomuunga mkono kwa kutaka kuizamisha Tanzania inachemshwa na wananchi. Atainywa na atapona.uala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano
Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.
Hajajiandaa wala kuandaliwa kuwa mgombea Urais. Anaongea kiharakati mno kuliko jukumu analotakiwa ku face. Kwasasa nchi ipo kwenye diplomacy tension na Kenya sababu ya COVID19 na kila mmoja anataka nchi yake kunufaika.Halafu mbaya zaidi mwezi ujao zinaanza kampeni vipi atahutubia wananchi kwa YouTube au atawakusanya tu na kuwatoa mhanga kwenye corona.?
Hana hoja. Leo kawaaibisha sana wafuasi wake.Tundu huwa ana hoja lakini wakati mwingine huwa mropokaji sana! Ajikite kwenye hoja za nini atawafanyia watanzania.
Leo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa
Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.
Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano
Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.
Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.

Kwa hiyo Marekani wanapotangaza maambukizi ya Covid-19 na kuonesha wanaongoza duniani ni kukosa uzalendo.Hapo huyo Tundu kakosa uzalendo unaipondaje nchi yako kwa watu Baki huko nje, corona yenyewe ni ugonjwa wa propaganda, pia kuwa mpinzani sio lazima uponde kila Jambo corona ingekuwepo kweli basi wagonjwa wangeonekana kila hospital.
Na pia sio lazima kuiga wengine kwenye ku deal na mambo, hapo tundu kakengeuka Sana tu maana upinzani wa mihemko na usio na tija wa kuharibu imagine ya nchi ni upinzani hewa, haufai kwa mstakabali wa nchi
Kuna kitu chaitwa maslahi ya taifa yaani National Interest.
Hao mabeberu wake huko waliko hata wakigombana vipi, wakija kwenye media wanakuwa wanaunga mkono na wanaweka pembeni tofauti zao za kisiasa.
Juzi tu huko UK serikali waliamua kufunga moja ya mikoa ya kaskazini maeneo ya Manchester kwa kuogopa kuenea kwa ugonjwa na ilikuwa ni siku kuu ya iddi.
Lakini vyama vya upinzani vikiongozwa na Labour walikuja kwenye media na wakasema wanaunga mkono hatua ya serikali.
Hivyo hivyo walifanya walipoweka karantini ya wiki 2 wapinzani wameunga mkono.
NI kwa maslahi ya taifa au National Interets.
Ukiwa raia wa nchi unatakiwa kulinda maslahi ya taifa si kuyatafutia majambazi huko nje ya kuja kuharibu.
..TL anawaambia wananchi wachukue tahadhari.
Shetani ni shetani tu, ukikaa vibaya anakumiminia risasi 38, ogopa shetani.Yani wanaofanya CCM iendelee kuwa madarakani ni hao hao wapinzani kwa kushindwa kujitambua na kutambua nafasi zao.
Ni bora shetani unaemjua siku zote, kuliko...
A country with no data, a chiefdom type of leadership.Ungekuja na idadi za ndugu zako wa karibu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo wa Covid -19 hapo kidogo ningeanza kukuelewa, lakini stori za vijiweni hapa havina nafasi. Vifo vya binadamu vilikuwepo na vitaendelea kuwepo hata kabla ya Korona, idadi ya vifo bado inaendelea kuwepo kama ile hata kabla ya corona ambao vifo vyao vinafahamika kwa madaktari. Tueleze ni mkoa gani ambao wananchi wana ugonjwa huo hatari kuzidi ukimwi na malaria?
Kabisa anahitaji washauri ili aongee kama Rais mtarajiwa sio mwanaharakati wa mitaani.Hajajiandaa wala kuandaliwa kuwa mgombea Urais. Anaongea kiharakati mno kuliko jukumu analotakiwa ku face. Kwasasa nchi ipo kwenye diplomacy tension na Kenya sababu ya COVID19 na kila mmoja anataka nchi yake kunufaika.
Hapo alipaswa kujua aseme nini au ikibidi aseme hilo ni swala la ndani na tunaoshauri serikali kwa utaratibu tuliojiwekea na kuhusu hali ya sasa no comments sababu hakuna takwimu rasmi na pia wananchi wanaendelea na maisha bila hofu.
Anaposema watu wanakufa amesikia kwa nani? Huyu wasipomuweka chini wakamtoa hasira na uanaharakati tutashuhudia kampeni kituko safari hii.
CCTV camera ziling'olewa na majambazi wenzakoKweli wewe ni busu la kenge. Ambaye hafi hadi damu zimtoke maskioni. Mleteni dreva wake akaripoti kituo cha polisi atausema ukweli wa kwanini yeye alitoka mzima kabsaaa. Na ilihali ukijua risasi haina macho?? pia kwanini ajeruhiwe mguu wa kulia pasipo mguu wa kushoto kutopata hitirafu. Kuna maswali mengi ya kujiuliza lakini majibu yatapatikana pindi mtakapo mleta na kumkabidhi dereva wake kituo cha polisi. Ni hayo tuu
Tumeficha data, ukiugua utajijua mwenyewe na familia yakoWewe nae acha kutetea UJINGA, Suala la COVID19 ni Kama MIMBA tu ufiche usifiche litaonekana tu, Sasa kwà TZ hii matukio Kama hayo tuneyaona wapi!?? Au umesikia wapi kaka!!
TL tatizo ana mdomo mkubwa Sana anaongeaongea tu Kama Propeller Kuna vitu hapaswi kuzungumza kabisa Ila yeye anaongeaongea tu bila Tashwishiwi,.
Hawa hawa Wapinzani walituaminisha kuwa COVID19 Ipo sana bunge lifungwe wabunge waende Quarantine, GVT ikagoma wakaenda wenyewe afu Baada ya siku 14 wakarejea tena Bungeni na wakakaa na CCM hao hao na bila Hata kuchukua tahadhari Wala kugoma kukaa nao Bungeni!!
Afu Wewe Tena unatetea UJINGA Sijui nawewe nae MJINGA Mkuu, Upinzani wa BONGO haupaswi kabisa kupewa madaraka labda DUNIA iumbwe kwà Mara ya pili!!