Hilo hilo la COVUD -19...
Wewe unaweza kuthibitishaje kuwa umesha idhibiti? Kwa kipimo gani? Kwa maneno ya Magufuli ya Jukwaani kwa sababu yeye ni "Rais?"
Au kwa sababu huoni maiti zimezagaa barabarani?
Kukosekana kwa UKWELI wa TAKWIMU na TRANSPARENCY ndiyo chanzo cha haya yote. Nani atakuamini kama huweki mambo wazi, unaamua kivyako gizani???
Na hivi huko Kenya ambako mpaka sasa bado wana restrictions za mikusanyiko na mazingira yoyote ya kuenea kwa maambukizi, umewahi kuziona maiti zinazagaa barabarani??
Hawa (Kenya) unaweza kuwaamini Mara moja kwa sababu wanapima watu wao, wanaweka takwimu wazi, mikakati iko wazi kwa kila mtu kuona, wanachukua hatua za udhibiti wa maambukizi na wanaomba Mungu vilevile....
Lakini sisi Tanzania eti tuamini tu chochote kitokacho kwa mtu mmoja aitwaye "Rais" kisha wote tuitike "ndiyooo" baada ya hapo kila mtu anyamaze kimyaa.... HAIWEZEKANI...!!