Alicho fanya Lisu ni kuwabomoa ccm au nchi?..hivi CCM mmewahi kuwaunga mkono wapinzani ktk jambo gani?
..mbona kila siku mnawachafua na kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba wapinzani ni watu wabaya?
Umesema yote. Maana atategewa kwenye maneno yake.Lisu apunguze kuongeaongea.. Atamiss points muhimu sana.
Ajicheki.
Na wewe unaumwa nini?? Au bibi yako??Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
Na yeye akavua mask kutafuta corona!..alitua nchini kavaa mask akakutana na umati hauna mask.
..Watz tunaishia kama vile tunaitafuta covid19.
Umeandika pumba kupita maelezo. Rudia kusoma ujinga wako alafu ujitafakari.....Hilo hilo la COVUD -19...
Wewe unaweza kuthibitishaje kuwa umesha idhibiti? Kwa kipimo gani? Kwa maneno ya Magufuli ya Jukwaani kwa sababu yeye ni "Rais?"
Au kwa sababu huoni maiti zimezagaa barabarani?
Kukosekana kwa UKWELI wa TAKWIMU na TRANSPARENCY ndiyo chanzo cha haya yote. Nani atakuamini kama huweki mambo wazi, unaamua kivyako gizani???
Na hivi huko Kenya ambako mpaka sasa bado wana restrictions za mikusanyiko na mazingira yoyote ya kuenea kwa maambukizi, umewahi kuziona maiti zinazagaa barabarani??
Hawa (Kenya) unaweza kuwaamini Mara moja kwa sababu wanapima watu wao, wanaweka takwimu wazi, mikakati iko wazi kwa kila mtu kuona, wanachukua hatua za udhibiti wa maambukizi na wanaomba Mungu vilevile....
Lakini sisi Tanzania eti tuamini tu chochote kitokacho kwa mtu mmoja aitwaye "Rais" kisha wote tuitike "ndiyooo" baada ya hapo kila mtu anyamaze kimyaa.... HAIWEZEKANI...!!
Aache hizo, ajikite kusema nini atatufanyia tukimchagua! Corona haiwezi kumbeba atajishushia heshima tu!Hana hoja. Leo kawaaibisha sana wafuasi wake.
Nakuonea huruma sana kama una waingili kwenye majukumu yao wana media wa nchi tofauti na Tanzania.Leo Nilibahatika Kusikiliza Live interview ya Mheshimiwa Tundu Lissu na Televisheni moja nchini Kenya. Mtangazaji Aliegemea kwenye Hoja tatu kama zilivyo orodheshwa hapo chini.
1. Kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu
2. Hali ya Covi-19 kwa Tanzania kwa sasa
3. Hali ya haki za Binadamu kwa Tanzania kwasasa
Binafsi Nitaegemea kwnye hoja ya Pili ambayo ni COVID-19.
Ikumbukwe kwamba Kenya ni Moja ya nchi mpinzani wetu mkubwa katika sector ya utalii na ndio maana mpaka leo kuna watu wanajua mlima kilimanjaro ambao ni moja ya kivutio kikubwa cha utalii duniani upo Kenya.
Suala la Tanzania kufungua mipaka na kukaribisha Watalii kipindi cha COVID-19 kimewaumiza sana majirani zetu, na wataalam wa masuala ya uchumi lazima watakwambia tumegain positively kiuchumu kwa move hii.
Niseme ukweli ni ujinga kuiponda serikali kwa hatua ilizochukua kuhusu COVID-19, Halafu unasema COVID-19 ipo sana Tanzania kwa takwimu zipi? Kilichopo ni watu kuchukua tahadhari na kuendelea na maisha.
Hivi hii COVID-19 ingekuwepo hapa Tanzania na maambukizo yawe ndio kama tunavyoelezwa Tanzania si kungekua na maiti huko Barabarani zimezagaa? Nani aliangalia fainali ya FA cup kati ya Simba na Namungo? mliona ule msongamano
Lets be careful guys, Ninajua wengi hawatapenda hii kwakua wana mahaba na upinzani lakini penye ukweli lazima usemwe.
Sijafurahia walivyofanya baada ya mahojiano kuweka TBT YA IDDI AMIN DADA AKIWAFOKEA MAWAZIRI WAKE.
Acha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
... kwanini hujafurahia hiyo Mkuu?
Hapo huyo Tundu kakosa uzalendo unaipondaje nchi yako kwa watu Baki huko nje, corona yenyewe ni ugonjwa wa propaganda, pia kuwa mpinzani sio lazima uponde kila Jambo corona ingekuwepo kweli basi wagonjwa wangeonekana kila hospital.
Na pia sio lazima kuiga wengine kwenye ku deal na mambo, hapo tundu kakengeuka Sana tu maana upinzani wa mihemko na usio na tija wa kuharibu imagine ya nchi ni upinzani hewa, haufai kwa mstakabali wa nchi
Swali zuri sana. Ukipima unapata takwimu. Hujapima utatumia facts za kwingineko mfano majirani zetu ipo kwanini kwetu isiwepo.Mkuu wewe unauakika gani kama Corona imeisha Tanzania ..??
Lissu kasema atailetea tanzania maendeleo gani wakuu. au bado anazungumzia kupigwa risasi na maisha yake Ubelgiji?
Aache upuuzi yeye toka anaingia nchini amechukua tahadhari gani dhidi ya corona...mbona mda wote amekuwa kwenye nyomi ya watu tena hata wazee akina Sefu wanatembea bila barakoa tena kwenye msongamano wa watu.
Atulie ajenge hoja zake vyema, wengi tupo nyuma yake..vya ukweli tutamsapoti vya uongo ataambiwa ukweli ajirekebishe.
imeua wangapi kwenuAcha uzuzu wewe korona ipo sana nchini acheni siasa za kishamba hizo.
Sisi tunawapenda viongozi wetu wa upinzani na lazima mjue kuwa hamuwezi kuwalazimisha watu waipende ccm yenu.Yani wanaofanya CCM iendelee kuwa madarakani ni hao hao wapinzani kwa kushindwa kujitambua na kutambua nafasi zao.
Ni bora shetani unaemjua siku zote, kuliko...
I agree. Kwa hili hata mimi sipo nae kabisa.
Kwenye familia yenu wamekufa wangapi kwa corona.?
Ndio maana nashindwa kuelewa wanaomfungia sauti Lissu ni wa kumuacha tu ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe.
Hasira za mkizi....