BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Ukiuliza Wanasias wengi,Vyama vyote, Kipi unakisimamia Moyoni Mwako? Jambo gani umeweza kulisimamia kama Mwanasiasa katika Maisha yako bila kuyumba utakosa majibu!
Ukisikia wanasiasa wanaongea vitu kinyume,lakini vinavyobeba Maslahi yao! Ili waonekane Machawa wapate teuzi. Wanayosema yanatoka Mdomoni sio Moyoni.
Tuliyoona kwa Viongozi wakuu wa Vyama vya upinzani wakijionyesha ni watu wema,kumbe ni Mbwa mwitu, Angalia COVID-19,Angalia Madalali wa siasa kutoka Kilimanjaro na Kigoma! Wana waza Maslahi binafsi sio wananchi.
Ni makosa Makubwa sana kuamini Wanasiasa na kuwapa dhamana ya kulinda Maslahi ya uma,hawasimamii viapo vyao! Hata hawa Wapinzani wakipewa nafasi,utashangaa kuona hawana jipya pia kwakuwa wakiwa sirini Wanafahamiana na wote ni Marafiki,Huu upinzani ni kiini macho kwa wananchi,ili waendelee kula na kukua kisiasa kupitia ajira hiyo. Very few who dont have a price tag, they are locked behind the bar!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.