Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
December 2021 tuliambiwa tutaanza kuona nafuu ya mafuta March matakeo yake bei ndiyo ikapanda zaidi, Samia siyo kiongozi mbaya tatizo lipo kwenye lile genge linalomshauri Mwigulu, Rostam, Nape, Makamba, Jk, Tulia, n.kUzuri wa Mama Samia si kichwa kigumu kama yule bichwa.
Naamini hata humu JF anaona maoni na kuyapima.
Mfumuko wa bei kutokana na kupanda bei ya mafuta ni lazima umewashitua na malamiko yapo mengi toka bungeni hadi mitaani.
Lakini naona analishughulikia kupunguza makali, tusubiri june 1st.