Wanasiasa wanalitaja jina la Mhe. Samia kwa wastani wa mitajo 1,978,365 kila siku ukilinganisha majina mengine

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi

Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku!

Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
 
Mitajo ya kulainisha upigaji, mwanamke wa kiafrika hupenda kusifiwa kwa kutajwa.
 
Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi

Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku!

Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
Mkuu Nakubaliana na takwimu
 
Mpaka hapo matokeo;
Machawa 99% wazalendo 01%
 
Kutajwa sana ni dalili mbaya, muda sio mrefu nusu mlingoti.
 
Inafikia hatua mpaka inakera..unaona jambo la maana linatangazwa anakuja mtu anapoteza maana nzima ya hilo jambo.

Niliwahi shauri kwa akili zangu ndogo tu na hata Edo juzi alitoa huo ushauri.

Abaki Mama tu na watu wachache inatosha,mfano kama wabunge ,Madiwani,Mawaziri.

Mama anaweza kufanya kazi na watu wake wachache walio kwenye mhimili wake "SERIKALI"

Hizo nguzo zingine tulizoma kwenye Civics hazina mashiko kwa sasa.
 
Jana nimepiga raundi tatu kwa mke wangu.
Kipekee namshukuru sana mama!
#Sio mitano tena, Kumi kabisa
 
Inafikia hatua mpaka inakera..unaona jambo la maana linatangazwa anakuja mtu anapoteza maana nzima ya hilo jambo.

Niliwahi shauri kwa akili zangu ndogo tu na hata Edo juzi alitoa huo ushauri.

Abaki Mama tu na watu wachache inatosha,mfano kama wabunge ,Madiwani,Mawaziri.

Mama anaweza kufanya kazi na watu wake wachache walio kwenye mhimili wake "SERIKALI"

Hizo nguzo zingine tulizoma kwenye Civics hazina mashiko kwa sasa.
Ilianza kama utani lakini sasa kila kona mamama
 
Back
Top Bottom