Mitajo ya kulainisha upigaji, mwanamke wa kiafrika hupenda kusifiwa kwa kutajwa.Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi
Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku!
Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
Mkuu Nakubaliana na takwimuKwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi
Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku!
Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
Mpaka hapo matokeo;Kwa wiki nzima nilikuwa nafuatilia habari kupitia Habari, mabaraza, vikosi kazi, michezo, bunge, na vikao mbalimbali vya viongozi
Nimepata mitajo ya jina hili kutamkwa mara nyingi zaidi wastani wa 1,978,365 kwa kila siku!
Swali; Hii mitajo ina ishara gani katika utawala bora?
Wanaimba wimbo wa malkia mgawa ridhiki yaoWaandishi nao wamekuja na kalamu ya samia
Na kwenye deni la taifa mbona hawamtaji mama wanarukaJana nimepiga raundi tatu kwa mke wangu.
Kipekee namshukuru sana mama!
#Sio mitano tena, Kumi kabisa
Ilianza kama utani lakini sasa kila kona mamamaInafikia hatua mpaka inakera..unaona jambo la maana linatangazwa anakuja mtu anapoteza maana nzima ya hilo jambo.
Niliwahi shauri kwa akili zangu ndogo tu na hata Edo juzi alitoa huo ushauri.
Abaki Mama tu na watu wachache inatosha,mfano kama wabunge ,Madiwani,Mawaziri.
Mama anaweza kufanya kazi na watu wake wachache walio kwenye mhimili wake "SERIKALI"
Hizo nguzo zingine tulizoma kwenye Civics hazina mashiko kwa sasa.
Too muchIlianza kama utani lakini sasa kila kona mamama
Yaani wanataja hadi wanamsahau Mungu anaewapa kupumuaToo much