technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
1: Julius Kambalage Nyerere
Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa ikulu.
2: Edward Sokoine
Mafisadi walimtengenezea ajali baada ya kuona alisimama kidete na wahujumu uchumi hakika alikufa akiwa na msimamo wake juu ya mafisdi na wahujumu uchumi wa Nchi hii.
3: Amina Chifupa
Huyu alikufa akipambana na magenge ya madawa ya kulevya alihongwa dollar nyingi ili asaliti mapambano lakini mpaka anakufa hakusita kusimama kwenye msimamo wake, pamoja na mmewe kuwa muuza madawa mkubwa.
4: Deo Filikunjombe
Uzalendo uliotukuka mafisadi ya umeme Nchi hii yakampoteza hakika kifo chake kina uchungu mkubwa Sana nyuma yake. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya PAC alisimama kidete kutetea pesa za umma juu ya mafisadi wa umeme wa Nchi hii. Watu wakamuuza kwa kuhofia angekuja kuwa PM au Rais badae.
5: John Pombe Magufuli
R.I.P ingawa tulipishana baadhi ya Mambo lakini utabaki kwenye vitabu vya kumbukumbu Kama mwanaume mwenye msimamo mkali kwenye janga la corona. Ulisimama ulisimama kwenye ili umeacha athari kubwa kwa taifa kiufupi mwanaume mpambanaji ingawa mabeberu pamoja na makaburu weusi kukupoteza ila Sasa duniani inaona ulicho kisimamia juu ya swala la corona.
Najua Kuna watu wengi ambao wanapenda kuwa wanasiasa ila ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri simamia unachokiamini mpaka mwisho kuwa tayari kufanya chochote kutetea msimamo wako, kuwa tayari hata kufa ukitetea msimamo wake.
Tundu Lissu na Mbowe nao uwenda wakaja kuwa kwenye kitabu hiki kwa misimamo yao isiyoyumba juu Katiba na haki katika taifa ili.
R.I.P wote, kubali kufa sio kulala!! Happy Nyerere day.