Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Ya kinyarwanda hasa [emoji8] she is Beautiful
But the lady is always unhappy...picha zake zote huko insta hana tabasamu hata kidogo..yn anaonekana ni mtu mwenye mawazo..inaonyesha hata akipiga picha akili yake huwa haiko kwa picha...she is cute..kukosa mtoto kusimfanye ashindwe hata ku smile jamani...
Nashindwa kuelewa ulokole wake...neno linasema shukuruni kwa kila jambo....
Km kuna rafiki yake humu amwambie let her self smile....yy sio wa kwanza..
 
Naona wadada mnaushambulia huu uzi kisa mwenzenu kasifiwa..!

Ni kweli kuna wanawake wazuri hata BIBLIA iliwaandika kwa mfano; Sara, Rebecca, Raheli, Esta, Vashti, Bethsheba nk, japokuwa haimaanishi uzuri wao utawafanya kuwa wake bora.

Yes, wanawake wazuri wapo na Neema anaweza kuwa miongoni mwao.

Anyways, Mods ondoa huu uzi..!
 
Kukosa mtoto laweza kua ni jambo dogo lakini kukosa mume mwenye utu na maadili ni jambo ambalo litakupa Mawazo kila kukicha,tabia za hadharani za kiumbe yule kuwa chongea na kudharirisha watu na wakati mwingine kuwatukana Mbele ya uma wa watanzania inadhihirisha kuwa huko ndani mkewe hayuko salama,ndio matokeo yake wanatajwa Malaya kama kina Masogange kuwa anawamiliki sasa wewe mwanamke hiyo furaha utaitoa wapi hapo? Yule Dada ni mzuri jamani hasa angepata mwanaume Rijali hasa angeyafurahia maisha
 
Utakua na matatizo ya akili sio bure, sasa ulitaka wadada wasichangie au? Na mbona sioni sehemu ambayo wadada wameonyesha chukizo juu ya huu Uzi wa kusifia wanaoonekana kua na sifa!!?
 
Kaanzisha mwenyekiti wa chama lenu na nyie mnaiga tu,kwani yeye aliozeshwa?
 
Utakua na matatizo ya akili sio bure, sasa ulitaka wadada wasichangie au? Na mbona sioni sehemu ambayo wadada wameonyesha chukizo juu ya huu Uzi wa kusifia wanaoonekana kua na sifa!!?
Yaani akichoandika hakifanani hata kidogo
 
Kwa Wewe ulishawahi pata kesi yoyote
Kwanini husemi wangekuwa wazuri kama mke wako? Au mkeo sio mzuri
 

Unamsema wamjua au ni kwa TV tu umemwona.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…