tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
But the lady is always unhappy...picha zake zote huko insta hana tabasamu hata kidogo..yn anaonekana ni mtu mwenye mawazo..inaonyesha hata akipiga picha akili yake huwa haiko kwa picha...she is cute..kukosa mtoto kusimfanye ashindwe hata ku smile jamani...Ya kinyarwanda hasa [emoji8] she is Beautiful
Nashindwa kuelewa ulokole wake...neno linasema shukuruni kwa kila jambo....
Km kuna rafiki yake humu amwambie let her self smile....yy sio wa kwanza..