Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Ya kinyarwanda hasa [emoji8] she is Beautiful
But the lady is always unhappy...picha zake zote huko insta hana tabasamu hata kidogo..yn anaonekana ni mtu mwenye mawazo..inaonyesha hata akipiga picha akili yake huwa haiko kwa picha...she is cute..kukosa mtoto kusimfanye ashindwe hata ku smile jamani...
Nashindwa kuelewa ulokole wake...neno linasema shukuruni kwa kila jambo....
Km kuna rafiki yake humu amwambie let her self smile....yy sio wa kwanza..
 
Naona wadada mnaushambulia huu uzi kisa mwenzenu kasifiwa..!

Ni kweli kuna wanawake wazuri hata BIBLIA iliwaandika kwa mfano; Sara, Rebecca, Raheli, Esta, Vashti, Bethsheba nk, japokuwa haimaanishi uzuri wao utawafanya kuwa wake bora.

Yes, wanawake wazuri wapo na Neema anaweza kuwa miongoni mwao.

Anyways, Mods ondoa huu uzi..!
 
Kukosa mtoto laweza kua ni jambo dogo lakini kukosa mume mwenye utu na maadili ni jambo ambalo litakupa Mawazo kila kukicha,tabia za hadharani za kiumbe yule kuwa chongea na kudharirisha watu na wakati mwingine kuwatukana Mbele ya uma wa watanzania inadhihirisha kuwa huko ndani mkewe hayuko salama,ndio matokeo yake wanatajwa Malaya kama kina Masogange kuwa anawamiliki sasa wewe mwanamke hiyo furaha utaitoa wapi hapo? Yule Dada ni mzuri jamani hasa angepata mwanaume Rijali hasa angeyafurahia maisha
 
Naona wadada mnaushambulia huu uzi kisa mwenzenu kasifiwa..!

Ni kweli kuna wanawake wazuri hata BIBLIA iliwaandika kwa mfano; Sara, Rebecca, Raheli, Esta, Vashti, Bethsheba nk, japokuwa haimaanishi uzuri wao utawafanya kuwa wake bora.

Yes, wanawake wazuri wapo na Neema anaweza kuwa miongoni mwao.

Anyways, Mods ondoa huu uzi..!
Utakua na matatizo ya akili sio bure, sasa ulitaka wadada wasichangie au? Na mbona sioni sehemu ambayo wadada wameonyesha chukizo juu ya huu Uzi wa kusifia wanaoonekana kua na sifa!!?
 
Kaanzisha mwenyekiti wa chama lenu na nyie mnaiga tu,kwani yeye aliozeshwa?
 
Utakua na matatizo ya akili sio bure, sasa ulitaka wadada wasichangie au? Na mbona sioni sehemu ambayo wadada wameonyesha chukizo juu ya huu Uzi wa kusifia wanaoonekana kua na sifa!!?
Yaani akichoandika hakifanani hata kidogo
 
Kwa
Unaona mwisho wa pua yako tuu. Hii kesi ina impact kubwa sana katika uendeshaji wa kesi katika mahakama zetu na suala la utoaji wa dhamana. Rejea za HC na ile ya CA kwa kesi hii ya Lema zitasaidia sana kuzuia Mawakili wa serikali kuzuia dhamana kwa uonevu kwa wananchi wanyonge siku zijazo.
Huo ndio ushujaa wa Lema, kateseka yeye lakini raia watanufaika kukwepa uonevu na bado katoka akiwa kamili gado
Wewe ulishawahi pata kesi yoyote
Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.

Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.

Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......

  1. Tabasamu zuri
  2. Macho mazuri
  3. Komwe zuri
  4. Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
  5. Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
  6. Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
  7. Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.

Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!

Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
Kwanini husemi wangekuwa wazuri kama mke wako? Au mkeo sio mzuri
 
Unamsema wamjua au ni kwa TV tu umemwona.?
 
Back
Top Bottom