Kwangu mimi nitakuwa wa mwisho kuwalalamikia viongozi, wale wanaolalamikia viongozi naona kama wanataka simba irudi kule kusafiri kwenda Mwanza kwa bus. Yes kuna wachezaj wamesajiliwa Simba hawajaclick sometimes kusajili ni kama kubet tu.
Kama timu inalala pazuri, inasafiri kwa ndege mishahara inalipwa on time kwa nini tuwalalamikie viongozi.
Kwa hizi mechi zilizobaki tusimame na mfumo wa Mgunda ili tutoboe. Kiukweli mfumo tu wa robertinho hauko sawa wachezaj wanastruggle sana. Saido au Chama mmoja aanze benchi, tupa kule Bocco. Mfungaji wa magoli ni Phiri lakini anawekwa benchi. Robertinho mfano Jana alikuwa na wakati mugumu sana.
Wanasimba let us unite hiki kipindi ni kigumu kwetu lakini tutavuka. Msimu ukiisha tusafishe watu ambao hawaperform tulete watu wanne ambao hata kama watakaa benchi wakiingia walete impact.
Simba kurogana wachezaj kwa wachezaj hii viongozi walikomeshe ndio kansa inayotutafuna kwa sasa kila mchezaji akija anarogwa na maveterani wa simba ambao wamekaa muda mrefu simba.