Wanasimba tuwe watulivu viongozi hawana shida

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kwangu mimi nitakuwa wa mwisho kuwalalamikia viongozi, wale wanaolalamikia viongozi naona kama wanataka simba irudi kule kusafiri kwenda Mwanza kwa bus. Yes kuna wachezaj wamesajiliwa Simba hawajaclick sometimes kusajili ni kama kubet tu.

Kama timu inalala pazuri, inasafiri kwa ndege mishahara inalipwa on time kwa nini tuwalalamikie viongozi.

Kwa hizi mechi zilizobaki tusimame na mfumo wa Mgunda ili tutoboe. Kiukweli mfumo tu wa robertinho hauko sawa wachezaj wanastruggle sana. Saido au Chama mmoja aanze benchi, tupa kule Bocco. Mfungaji wa magoli ni Phiri lakini anawekwa benchi. Robertinho mfano Jana alikuwa na wakati mugumu sana.

Wanasimba let us unite hiki kipindi ni kigumu kwetu lakini tutavuka. Msimu ukiisha tusafishe watu ambao hawaperform tulete watu wanne ambao hata kama watakaa benchi wakiingia walete impact.

Simba kurogana wachezaj kwa wachezaj hii viongozi walikomeshe ndio kansa inayotutafuna kwa sasa kila mchezaji akija anarogwa na maveterani wa simba ambao wamekaa muda mrefu simba.
 
Hivi Kocha alipofika hakuangalia Timu inachezaje mpaka kwenda Makundi??? Video si zipo? Inakuaje wasikae mezani waone la kufanya na wawe na jambo lao Moja kwa ajili ya maslahi ya Timu Kwa ujumla.Kwa maaana tunachokioana Sasa ni mambo ya Ajabu.
Wachezaji ni wale wale,waliweza kushinda ugenini na kwenda mbele,ila Leo hii hao hao wanafanya vibaya.Hivi uongozi haushtki tu????????

Isije kuwa wachezaji hawamtaki Kocha na wanafanya makusudi tu,Mbona kipindi Cha Mgunda hao hao walipambana sana na Tulifanya vizuri????...
Hebu wawaite mchezaji mmoja baada ya mwingine na waongee shida nini,kama wanamtaka Mgunda basi Wampe Timu.....Isije kuwa kuna Viongozi wananufaika na Timu kufanya vibaya 🤭🤭
 
Yawezekana kabisa haingii akilini wanavyocheza kwa sasa
 
Sasa mkuu mbona unajikontradikti Sana mkuu. Unasema viongozi hawana shida tusiwalaumu lakini hapo hapo...

1. U anakubali usajili wa watu 4 unatakiwa, unasahau viongozi Hawa Hawa ndo wanazingua wanamleta Manzoki Siku ya uchaguzi Kuja kuwakejeli Yanga badala ya kumleta mwanzo wa msimu aje acheze mpira

2. Unasema viongozi wasafishe na kukemea tabia ya wachezaji kurogana unasahau kama viongozi ndio wanawalinda ma God father kina Bocco.

NB
Yaani unataka timu Icheze mfumo wa Mgunda wakati kocha mkuu ni Robertino? How?
 
Kile kikosi nakumbuka kilikuwa hivi..
Manula
Kapombe
Hussein
Onyango
Inonga
Kanuote
Mzamiru
Chama
Kibu
Philli
Okra/Sacko
Huyu Kocha kwanin asikae na mwenzake Mgunda wafanye jambo Kwa maslahi ya Timu????
 
Kwangu mimi nitakuwa wa mwisho kuwalalamikia viongozi, wale wanaolalamikia viongozi naona kama wanataka simba irudi kule kusafiri kwenda Mwanza kwa bus. Yes kuna wachezaj wamesajiliwa Simba hawajaclick sometimes kusajili ni kama kubet tu.

Kama timu inalala pazuri, inasafiri kwa ndege mishahara inalipwa on time kwa nini tuwalalamikie viongozi.

Kwa hizi mechi zilizobaki tusimame na mfumo wa Mgunda ili tutoboe. Kiukweli mfumo tu wa robertinho hauko sawa wachezaj wanastruggle sana. Saido au Chama mmoja aanze benchi, tupa kule Bocco. Mfungaji wa magoli ni Phiri lakini anawekwa benchi. Robertinho mfano Jana alikuwa na wakati mugumu sana.

Wanasimba let us unite hiki kipindi ni kigumu kwetu lakini tutavuka. Msimu ukiisha tusafishe watu ambao hawaperform tulete watu wanne ambao hata kama watakaa benchi wakiingia walete impact.

Simba kurogana wachezaj kwa wachezaj hii viongozi walikomeshe ndio kansa inayotutafuna kwa sasa kila mchezaji akija anarogwa na maveterani wa simba ambao wamekaa muda mrefu simba.
Na wewe unaamini simba itasajiri wa chezaji wa maana msimu ujao?
 
Tunafanyeje ili tujinasue hapa tulipo
Ni muwekezaji kung'atuka pamoja na viongozi walioko pale Simba maana viongozi waliopo wameshindwa kumsimamia muwekezaji hasa kwenye budget ya usajiri na wao viongonzi wamekua kama hawana maono kabsa yapo yapo tu
 
Back
Top Bottom