Wanasimba wameshinda lakini hawana furaha ndani ya mioyo yao

Hiyo nayo itakua ni bonge la gemu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sawa maana wewe upo ndani ya mioyo yao
 
Mnahangaika sanaaaa na matokeo ya simba akishinda maneno akifungwa maneno, ebu mtuache
 
Reactions: Tui
Nimekaa kimya ila leo ngoja niseme....we jamaa usipoitaja Simba unapata taaabu sana ...embu jifunze kutokuongelea chama la kibabe
Ni lazima amtaje mumewe.Nilipita kijiwe cha Yanga wakawa wanapeana moyo kwa kipigo cha Jumapili.Mmoja akadai kafungwa bingwa wa Afrika aliyefika nusu fainali ya klabu bingwa ya dunia itakuwa sisi?Wenzake wakakubaliana nae.
 
Wewe mbona umeitaja yanga hapo?? Kwa hiyo na wewe ni mumeo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hautaweza kuamini ila tunamfunga vizuri tu mwarabu kwake sio wewe tu na dunia nzima haiwezi kuamini
 
We ulishawahi kumpiga dole tembo? Acha kuongea upuuzi. Utakuwa lini na akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…