Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kwani ligi imeisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ligi imeisha?
Sio rahisi mzee,mabingwa huwa hawatwangani nyingi kama nyie vibonde mnavyopigwa
Raja Casablanca alikupiga ngapi nje ndaniSio rahisi mzee,mabingwa huwa hawatwangani nyingi kama nyie vibonde mnavyopigwa
Hiyo nayo itakua ni bonge la gemuAway game ndio approach yao Waarabu, kule Casablanca utasema wamewabadirishia timu lakini ni timu hiyo hiyo.
Tufurahi kwa ushindi wa leo, lakini kuwatowa Wamorocco kwao bado hauna uwekezaji huo.
Mpaka sasa ni Mamelodi peke yake ndio anaweza kukomaa na Waarabu kwao.
Ukitaka kujifunza kitu usikose kuangalia mechi ya leo SAA 4 usiku kati ya Raja na Al Ahaly
Sawa maana wewe upo ndani ya mioyo yaoKongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.
NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli liliofungwa na Jean balleke huku asist ikitoka kwa kibu Denis (drogba wa bongo).
Kidogo ingekuwa furaha kubwa Kama simba angeanzia kwa wydad halafu akapata ushidi alioupata leo hakika ingeleta matumaini kwa mashabiki.
Mashabiki wa Simba wanalazimisha furaha lakini wakikumbuka kuwa watakwenda kwa waydad mioyo yao inachoka kabisa haswa kuona timu yao imepata ushindi mwembamba.
Simba Kuifunga wydad Casablanca goli moja kwa mkapa ni sawa na mtu kumpiga dole tembo , shida ni pale tembo atakapo geuka kwa gadhabu, ndicho kitakacho watokea Simba nyumbani kwa wydad wategemee kuoga magoli si chini ya tatu nakuendelea.
Simba angefunga goli tatu na kuendelea hii ingeleta matumaini kwa mashabiki, lakini goli moja ni wazi huu ni muda wa kukusanya vilago nakurudi nyumbani.
Simba haina uwezo wa kuifunga/ kuzuia magoli nyumbani kwa wydad, huo ndiyo ukweli mengine tunapeana moyo tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mnahangaika sanaaaa na matokeo ya simba akishinda maneno akifungwa maneno, ebu mtuacheKongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.
NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli liliofungwa na Jean balleke huku asist ikitoka kwa kibu Denis (drogba wa bongo).
Kidogo ingekuwa furaha kubwa Kama simba angeanzia kwa wydad halafu akapata ushidi alioupata leo hakika ingeleta matumaini kwa mashabiki.
Mashabiki wa Simba wanalazimisha furaha lakini wakikumbuka kuwa watakwenda kwa waydad mioyo yao inachoka kabisa haswa kuona timu yao imepata ushindi mwembamba.
Simba Kuifunga wydad Casablanca goli moja kwa mkapa ni sawa na mtu kumpiga dole tembo , shida ni pale tembo atakapo geuka kwa gadhabu, ndicho kitakacho watokea Simba nyumbani kwa wydad wategemee kuoga magoli si chini ya tatu nakuendelea.
Simba angefunga goli tatu na kuendelea hii ingeleta matumaini kwa mashabiki, lakini goli moja ni wazi huu ni muda wa kukusanya vilago nakurudi nyumbani.
Simba haina uwezo wa kuifunga/ kuzuia magoli nyumbani kwa wydad, huo ndiyo ukweli mengine tunapeana moyo tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu ushawahi jiponda na nyundo ukipigilia msumari? Lazima upige yoweeeUmeona ukiumia kimyakimya hutoweza,mpaka umepiga yowe😂😂😂😂
Ni lazima amtaje mumewe.Nilipita kijiwe cha Yanga wakawa wanapeana moyo kwa kipigo cha Jumapili.Mmoja akadai kafungwa bingwa wa Afrika aliyefika nusu fainali ya klabu bingwa ya dunia itakuwa sisi?Wenzake wakakubaliana nae.Nimekaa kimya ila leo ngoja niseme....we jamaa usipoitaja Simba unapata taaabu sana ...embu jifunze kutokuongelea chama la kibabe
Wewe mbona umeitaja yanga hapo?? Kwa hiyo na wewe ni mumeoNi lazima amtaje mumewe.Nilipita kijiwe cha Yanga wakawa wanapeana moyo kwa kipigo cha Jumapili.Mmoja akadai kafungwa bingwa wa Afrika aliyefika nusu fainali ya klabu bingwa ya dunia itakuwa sisi?Wenzake wakakubaliana nae.
Huo ndiyo ukweli bila yakupepesa machoSawa maana wewe upo ndani ya mioyo yao
Leta uzi wowote nilioanzisha kuhusu Gongowazi. Wewe hazipiti siku 2 unaleta uzi kuhusu Simba.Au una mimba changa?Wewe mbona umeitaja yanga hapo?? Kwa hiyo na wewe ni mumeo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Away game ndio approach yao Waarabu, kule Casablanca utasema wamewabadirishia timu lakini ni timu hiyo hiyo.
Tufurahi kwa ushindi wa leo, lakini kuwatowa Wamorocco kwao bado hauna uwekezaji huo.
Mpaka sasa ni Mamelodi peke yake ndio anaweza kukomaa na Waarabu kwao.
Ukitaka kujifunza kitu usikose kuangalia mechi ya leo SAA 4 usiku kati ya Raja na Al Ahaly
Sawa afande wa zenji [emoji41]Leta uzi wowote nilioanzisha kuhusu Gongowazi. Wewe hazipiti siku 2 unaleta uzi kuhusu Simba.Au una mimba changa?
Unafikiri ni ihefu hao.Hautaweza kuamini ila tunamfunga vizuri tu mwarabu kwake sio wewe tu na dunia nzima haiwezi kuamini
Uanjua maana ya kuch kuch.???Jina km kinyesi. Mmmmh
We ulishawahi kumpiga dole tembo? Acha kuongea upuuzi. Utakuwa lini na akili?Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.
NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli
Anajitoa akili hyo.We ulishawahi kumpiga dole tembo? Acha kuongea upuuzi. Utakuwa lini na akili?
Hajitoi akili.Kwani hizo akili za kujitoa anazo basi?Anajitoa akili hyo.