Wanasimba wameshinda lakini hawana furaha ndani ya mioyo yao

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.

NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli liliofungwa na Jean balleke huku asist ikitoka kwa kibu Denis (drogba wa bongo).
Kidogo ingekuwa furaha kubwa Kama simba angeanzia kwa wydad halafu akapata ushidi alioupata leo hakika ingeleta matumaini kwa mashabiki.

Mashabiki wa Simba wanalazimisha furaha lakini wakikumbuka kuwa watakwenda kwa waydad mioyo yao inachoka kabisa haswa kuona timu yao imepata ushindi mwembamba.

Simba Kuifunga wydad Casablanca goli moja kwa mkapa ni sawa na mtu kumpiga dole tembo , shida ni pale tembo atakapo geuka kwa gadhabu, ndicho kitakacho watokea Simba nyumbani kwa wydad wategemee kuoga magoli si chini ya tatu nakuendelea.

Simba angefunga goli tatu na kuendelea hii ingeleta matumaini kwa mashabiki, lakini goli moja ni wazi huu ni muda wa kukusanya vilago nakurudi nyumbani.

Simba haina uwezo wa kuifunga/ kuzuia magoli nyumbani kwa wydad, huo ndiyo ukweli mengine tunapeana moyo tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yamekuwa hayo tena??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cha msingi amekandwa tu
 
Kumbe ni mtani?sema roho imekuchafuka kwa ushindi,kabla ya mechi mlibwza na kukebehi Sana,Sasa eti hawana uwezo wa kuifunga kwao!!!!

Sasa Kama haina uwezo hata ingeanza kwao ingesaidia nini ikiwa tayari unaamini kule sio chini ya tatu.
 
Kwahiyo Yanga Ni mbovu kuliko Simba sio, kwa hesabu zako Kama ingelikua Ni Yanga mngepigwa nje ndani sio?
 
Kumbe ni mtani?sema roho imekuchafuka kwa ushindi,kabla ya mechi mlibwza na kukebehi Sana,Sasa eti hawana uwezo wa kuifunga kwao!!!!

Sasa Kama haina uwezo hata ingeanza kwao ingesaidia nini ikiwa tayari unaamini kule sio chini ya tatu.
Punguza makasiriko kolombwizo wewe [emoji41]
Simba kupigwa atapigwa tu, hili halina ubishi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.

NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli liliofungwa na Jean balleke huku asist ikitoka kwa kibu Denis (drogba wa bongo).
Kidogo ingekuwa furaha kubwa Kama simba angeanzia kwa wydad halafu akapata ushidi alioupata leo hakika ingeleta matumaini kwa mashabiki.

Mashabiki wa Simba wanalazimisha furaha lakini wakikumbuka kuwa watakwenda kwa waydad mioyo yao inachoka kabisa haswa kuona timu yao imepata ushindi mwembamba.

Simba Kuifunga wydad Casablanca goli moja kwa mkapa ni sawa na mtu kumpiga dole tembo , shida ni pale tembo atakapo geuka kwa gadhabu, ndicho kitakacho watokea Simba nyumbani kwa wydad wategemee kuoga magoli si chini ya tatu nakuendelea.

Simba angefunga goli tatu na kuendelea hii ingeleta matumaini kwa mashabiki, lakini goli moja ni wazi huu ni muda wa kukusanya vilago nakurudi nyumbani.

Simba haina uwezo wa kuifunga/ kuzuia magoli nyumbani kwa wydad, huo ndiyo ukweli mengine tunapeana moyo tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tulia wewe ally komwe kwanza kesho unapigwa na rivers
 
Tuna furaha sana mkuu Kwa mpira wa mwarabu wa leo Kwa mkapa tunaenda kumuongeza goli 4 kwake
 
Back
Top Bottom