NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.
NALIA NGWENA the great thinker natoa pongezi kwa kuifunga wydad goli moja kwa mtungi, goli liliofungwa na Jean balleke huku asist ikitoka kwa kibu Denis (drogba wa bongo).
Kidogo ingekuwa furaha kubwa Kama simba angeanzia kwa wydad halafu akapata ushidi alioupata leo hakika ingeleta matumaini kwa mashabiki.
Mashabiki wa Simba wanalazimisha furaha lakini wakikumbuka kuwa watakwenda kwa waydad mioyo yao inachoka kabisa haswa kuona timu yao imepata ushindi mwembamba.
Simba Kuifunga wydad Casablanca goli moja kwa mkapa ni sawa na mtu kumpiga dole tembo , shida ni pale tembo atakapo geuka kwa gadhabu, ndicho kitakacho watokea Simba nyumbani kwa wydad wategemee kuoga magoli si chini ya tatu nakuendelea.
Simba angefunga goli tatu na kuendelea hii ingeleta matumaini kwa mashabiki, lakini goli moja ni wazi huu ni muda wa kukusanya vilago nakurudi nyumbani.
Simba haina uwezo wa kuifunga/ kuzuia magoli nyumbani kwa wydad, huo ndiyo ukweli mengine tunapeana moyo tu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app